Watanzania waanza kununua petroli na dizeli nchini Zambia

Mipakani sio mafuta tu hata sukari boda kama Tunduma sukari ya Zambia 1kg inauzwa 2000.Tz inawasomi wenye PHD za hovyo sana kama hawa kina nchemba,mwenda zake,prof pumba wa kafu yani vituko haviishi.
 
Hili jambo la kuweka bei mmoja nchi nzima mm naona ni jambo zuli sn... Ss zambia tu mafuta bei ni 1756 nchi nzima yani hata sijui tunafeli wapi mafuta hayo hayo yamepita apa mpk yamefika kwao garama kibao yani kma tungekuwa na wazalenda wa kweli apa kwetu tungekuwa tunanunua hata kwa elfu 1500, nchi nzima

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Kina mwigulu wanasomesha feza
 
Back
Top Bottom