UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Binafsi suala la chanjo halinishughulishi hata kidogo sijawahi kupinga wala kuhitaji, iwepo au isiwepo sio issue kwangu. Anayehitaji chanjo adungwe apige picha watu waone na asiyehitaji nae ni uamuzi wake basi ni hivyo tu.Kuna kipindi kukataa chanjo ilikuwa kana umepewa tiketi na visa ya kwenda mbinguni🤣🤸🐒