#COVID19 Watanzania waanza kujiachia na Chanjo ya COVID 19 kwenye nchi za watu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,641
218,091
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TFF Aliyeenguliwa kwa fitna , Oscar Oscar na Rafiki yake ambaye sikumtambua jina lake wametangaza hadharani kwamba wamepata chanjo ya corona nchini Marekani, watu hao wawili ni raia wa Tanzania nchi ambayo miezi michache iliyopita iliamini kwamba virusi vya corona vinaisha kwa kupiga nyungu .

Kwangu haya ni maendeleo makubwa sana!

Maulid_Baraka_Kitenge’s_Instagram_photo:_“Shughuli_imeisha_Chanjo_ya_Corona_tayari_aisee_@osca...jpg
 
Mwili wangu ni hekalu la Holy Ghost hautachezewa kwa chanjo ya corona yenye agenda ya ushwetwani mwingi mno. Wambie hawamabwana ulimbukeni huu wa kupiga picha USA hakuanza awamu hii umejirudia tu.
Mwili wako ni hekalu la shetani ndio maana wale waasi wote walitupwa duniani wakabaki wakamilifu kule yeye mkuu alipoo
 
Na Manji kesharudi, wanasimba inabidi wakae mbali na hizi chanjo za utopolo...tuwaachir akina Mzee Mpili🤣
 
Back
Top Bottom