Watanzania wa kwanza kupata shahada majuu

Katoma

Senior Member
Mar 11, 2008
133
10
Chini nimejaribu kutaja watanzania waliofungua mlango wa kutafuta Elimu ya juu nje ya nchi. Ni muhimu kuwajua wanafunzi wakitanzania waliosoma Uingereza enzi hizo, labda pia ndio walioanzisha libeneke la kubeba mabox huku ukitafuta degree.

Endeleza listi....

Matthew Ramadhani, University of Sheffield (1st Tanzanian with a british degree), 1940s
Justino Mponda, MBE, 1940s
Godfrey Kayamba, University of London, 1940s
Thomas Marealle, University of Cambridge and LSE alum, 1940s
Chief Kidaha Makwaia, University of Oxford alum, 1949-1950
Julius Nyerere, University of Edinburgh, 1954
Justino Mponda, 1950s
Hamza Mwapachu, 1950s
Dunstan Omari, Aberystwyth University, Wales, 1953 graduate (was the 1st African District Commissioner in the Provinsial Administration of Tanganyika 1955)
Joseph Sawe, Aberystwyth University, Wales
Oscar Kambona, University of London 1950s
 
Halafu watu ooh, Nyerere ndiye mtu wa tanzania ya leo wa kwanza kupata degree Uingereza.
 
Halafu watu ooh, Nyerere ndiye mtu wa tanzania ya leo wa kwanza kupata degree Uingereza.

Matthew Ramadhani, University of Sheffield (1st Tanzanian with a british degree), 1940s
Justino Mponda, MBE, 1940s
Godfrey Kayamba, University of London, 1940s
Thomas Marealle, University of Cambridge and LSE alum, 1940s
Chief Kidaha Makwaia, University of Oxford alum, 1949-1950
Julius Nyerere, University of Edinburgh, 1954
Justino Mponda, 1950s
Hamza Mwapachu, 1950s
Dunstan Omari, Aberystwyth University, Wales
Joseph Sawe, Aberystwyth University, Wales
Oscar Kambona, University of London 1950s

Wengi wao wametajwa humu:

http://books.google.com/books?id=m0...yerere&client=firefox-a&source=gbs_navlinks_s
 
Back
Top Bottom