Thibitisha jinsi Lissu na chadema watskavyo ondoa amani.Ni kweli kuwa wewe na wenzako ninshemu ya watanzania ambao mmeamua kuwajaribu wakina Lissu na CHADEMA. Lakini huna budi kufahamu kuwa amani na utulivu katika nchi huletwa na walio wengi. Watanzania walio wengi kwa idadi wataenda kumpa Rais John Pombe Magufuli miaka mitano Tena ya uongozi.
Lkn pia kipindi chote cha Magufuli amani imepotea, tumeshuhudia watu kutekwa na kuptezwa, maiti kuokotwa hovyo. Ni kwamba hatuko salama.
Kama Mo aweza kutekwa kirahisi namna hile, mimi wakinitaka si ni sekunde tu??.