Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

Miti milioni nne Ni ukubwa wa jiji la Dar?

Nyie mnasababishaga bangi ionekani Ni madawa ya kulevya
 
Nikuulize huo mkaa unaotumia unazani ni hekta ngapi zinateketea kwa mwaka kuzalisha mkaa, kuni mbao za asili kama mninga, mkongo, mpingo, kilimo na ufugaji (Wasukuma) nk? Nimefika hapo Wanapojenga hilo Bwawa ni sehemu ndogo sana ya uharibifu wa misitu ya asili TZ, TZ inaharibiwa misitu na wakulima, wachoma mikaa, wakata mbao na wafugaji kwa rate kubwa sana tuache siasa
Chawa wa makamba yupo kazini achana naye.
 
Ukiambiwa uchague umeme wa kutosha ama sehemu ndogo ya pori, afu acha siasa, eneo linalojengwa ni dogo sana unasema kama dar nzma, Dar unaijua wewe????
 
Makamba na wanafiki wenzake jueni suala la strogiers gourge tunaliangalia kwa jivho tofauti na kwa makini.Kujichanganya kwao katika maelezo ya kukatika umeme wasidhani wataleta hayo kwenye suala la bwawa
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
mtu anayezuia kujenga hilo bwawa akisingizia sijui mazingira sijui nini huwa namshangaa sana. na huwa naamini hana akili timamu.
 
Umeandika nini bila kufanya tathimini ya Dunia
Amazon heka ngapi za msitu huteketea. Mataifa yaliyoendelea wanatoa hewa chafu kiwango kikubwa kuliko Nchi zetu.

Tanzania hata kwenye Mkataba Dunia ya mataifa makubwa yanayozalisha hewa Chafu atupo
Unaanza kumsifia Nepa Wa Gori la mkono
 
Umeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji
Dah....ona sasa unavyodharaulika

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Hiyo miti imeanza kukatwa leo na athari za mvua ndo zimeanza eehh!!

Sikiliza wewe fisadi mwenye mawazo ya mfalme jua,Hii ni nchi yetu woteee mwendazake alishaondoka,tutakula sahani Moja na nyinyi kuanzia humu mitandaoni na huko mtaani mnapokutana na mziki wa wananchi wasiomtaka huyo mama na genge lake,Kawaambieni hao watwana,sisi tutakula sahani moja nao mpaka waelewe
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Wivu huu kwa HAYATI NI AIBU KUBWA SANA

ACHA WIVU
 
Chawa wa makamba na boss wao wanajifanya wajuawajiiiiiiii kumbe tunawachora tuu nakuwaona ni wachumia tumbo fulani, sasa mjichanganye kwenye hilo bwawa ndipo mtajua watanzania ni watu wa aina gani.
 
Kwa hiyo ni bora kuwasha Diesel engine za Dowans na Iptl kuliko kuzalisha Umeme kwa maji ?

Kipi kinaharibu zaidi mazingira kati ya generator za Dowans mnazotaka kuwasha and Umeme wa maji wa Stiegler ?

Hivi unafahamu umeme utokanao na nguvu ya Maji kama mliocancel wa Stiegler ni renewable energy ?
Nimemsikia nape nawoye jamaa anabweka sana bungeni sijui alinyimwa nini na jpm
 
Mbona unataja cubic metre(m³) huu ni ujazo, halafu unasema ni sawa na eneo la dar nzima.. hapa unazungumzia eneo,square metre(m²)!??
 
Kama unaishi Dar au hutembei nchi hii utasema ni akili ndogo ila jua tu mamilioni ya hekta za misitu yanateketea kwa shughuli za kibinadamu (Mkaa, kilimo, ufugaji na makazi)
Baba Joseph mwenye miaka 17, swali langu la msingi liko pale pale.. Kwavile miti inakatwa kila kukicha kwa shughuli za kibinadamu ndo serikali ikaamua ku-top up kwa kukata miti zaidi?
Kuna mdau ameuliza sehemu, plan yenu kama serikali ni ipi ya at-least kupanda nusu ya miti mliyokata?
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Yaani wewe na huyo ulio rejea kwa answered akili zenu sawa na za watoto wa vidudu
 
Vile MATAGA wanawahi kwenye uzi kuja kutetea legacy ya mwendakuzimu😁😁😁
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Acha upopoma na kuchuuzwa, shirikisha akili tafuta maarifa....
 
Jiwe alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu. Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo
Aisee!
Kweli nchi hii tuna wavivu na vilaza wanaoendeshwa na upepo wowote ili mradi wajipe furaha ya dharura
 
Back
Top Bottom