Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

mtu anayezuia kujenga hilo bwawa akisingizia sijui mazingira sijui nini huwa namshangaa sana. na huwa naamini hana akili timamu.
Sasa endapo hilo bwana litakamilika na mgao wa umeme ukawepo utasemaje?

Wakati gesi inachimbwa Lindi na Mtwara tuliambiwa kwamba hatutakuwa na shida ya umeme. Kwa kweli nyinyi maccm hamna aibu baadae kidogo mtageuza kauli, huo mradi ni kiini macho tu.

Mradi huo ulikosolewa na wajerumani kwamba utaathiri mazingira lakini hamsikii subiri ukweli ni ukweli tu mtaumbuka muda siyo mrefu
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Jimbo la New York na Beijing ni maeneo yayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa duniani... miti milioni 4 mbona sawa na Tanzania nzima. Tusiharibu mazingira jamani. Joto kali... kwanza huo umeme mnautaka wa nini... bara lenyewe la giza... umeme ukikatika tunalia, ukirud tunalia... hatujui tutakacho kama Taifa.

Kwanza nngekuwa "Rahisi" nngebomoa majumba yote dar kisha tupande miti...

Nyani sisi
 
Mzee mbona umeamua kutumia akili kidogo hivyo kwenye hili? Kwahiyo serikali imeamua kuwakomoa wakulima na wachoma mkaa kwa kukata miti kama wao?
Huo ni mfano tu katika kujenga hoja yake. Mikaa ya jiji la Dar yote inatoka mkoa wa Pwani na huu mchakato wa kuileta Dar haijaanza jana wala juzi. Umeshajiuliza kama hiyo miti inayokatwa huwa inapandwa miti mingine mbadala?.
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Acha uongo bwana, yaani serious machozi yamekutoka?
Hiyo sehemu ndogo sana haiwezi ikasababisha mvua zisinyeshe, hata hivyo huku kusini muda wa mvua bado kwahiyo huwezi kusema Kuna ukame. Mpaka ikifika mwezi January katika kama haijanyesha, ndiyo tunaweza kusema Kuna ukame
 
Kama unaishi Dar au hutembei nchi hii utasema ni akili ndogo ila jua tu mamilioni ya hekta za misitu yanateketea kwa shughuli za kibinadamu (Mkaa, kilimo, ufugaji na makazi)
Kweli Mkuu mwambie atembelee mikoa ya kilimo kama Ruvuma akaone mashamba ya kitai (magereza) na mlale jkt nd ataona miti jinsi gani inakatwa na imekatwa,,, hiyo miti 4m ni michache sana.
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Miti bado hipo ya kutosha na hata ukiwa kwenye ndege utaona idle fertile land ni eneo kubwa sana.Miji yetu au population coverage ktk land ni ndogo sana.

Tumejitahidi sana kutunza misitu na wanyama ukilinganisha na nchi nyingi duniani.

Imefika wakati na sisi tufanye miradi mikubwa ya maendeleo kwa faida ya wananchi.
 
Hiyo miti ilienda wapi?Nasikia ilihesabika kama takataka tu za kwenda kudispose!
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Imekatwa miti mingapi kujengwa majiji, miji na vijiji nchi hii? Au unafikiri majiji kama Dar, Mwanza, Dodoma yalishuka toka mbinguni?
 
Mwanadamu huwa ana tabia ya kujitengenezea majanga.
Inasikitisha sana
 
Nikuulize huo mkaa unaotumia unazani ni hekta ngapi zinateketea kwa mwaka kuzalisha mkaa, kuni mbao za asili kama mninga, mkongo, mpingo, kilimo na ufugaji (Wasukuma) nk?

Nimefika hapo Wanapojenga hilo Bwawa ni sehemu ndogo sana ya uharibifu wa misitu ya asili TZ, TZ inaharibiwa misitu na wakulima, wachoma mikaa, wakata mbao na wafugaji kwa rate kubwa sana tuache siasa
Mkuu una akili sana. Na mtoa uzi hawezi kukujibu
 
Yote hayo ni harakati za kuupoteza huo mradi.
Wenye akili wameshawajua Nia yenu.

Mbona mradi wa SGR hamuunangi hivyo??

Hujuma zenu zina mwisho...ni swala la muda tu.
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Watu kama ninyi hamuwezi kuishi kwenye nchi za watu wenye akili.
 
Miradi ya kitaifa iwe na utaratibu maalumu wakiutelekelezaji.Isiwe matakwa ya viongozi waliomadarakani
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Tuende mbali kidogo zaidi. Ni kiasi gani cha emission ya water vapour(transpiration) kimepotea baada hiyo miti iukatwa. Hayo ni maji yanaweza kugeuka mvua katika maeneo ya karibu. Je, huu ukame wa mwaka huu una uhusiano?
 
Jiwe sikumuunga mkono kwa mengi lkn hili la umeme JNHPP nilimuunga mkono kwa 200%
Sawa mkuu lakini hebu fikiri hayo matrilioni kama angeyaingiza kwenye umeme wa upepo au sola au jotoardhi na akaokoa hiyo miti si angekuwa shujaa zaidi?
 
Umeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hiyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji.
Kwa hali ya dunia ilivyo kwa sasa na haya mabadiliko ya tabia nchi mtu mwenye uelewa wa kawaida akisema tusikate miti bali tutafute alternatives nyingine huyo ni mbarikiwa sana.. sasa mtu anajenga hoja eti wanaokataa ni maneneru sasa huyu ni sawa anamuota mama yake mchawi
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Hata mwaka 2006 ulitokea ukame mkali sana tukiwa hatujaka hata mti mmoja
 
takwimu zilishatoka kuwa, miti yoye ukichanganya na ile midogo midogo ni 2.7 Milioni hivyo nafikiri ungejenga hoja yako kwa kutumia hizo data ili ueleweke..
Turudi kwenye mada
1. Maendeleo ni gharama; Emission ya hewa chafu inayotolewa na viwanda vya marekani; madhara yake yanaweza kuwa mara 200 ya hiyo miti iliyokatwa; hapo hujataja maviwanda Nchi nyingi tu za Ulaya na uchina
2. China ambayo ndio inaenda kumiliki uchumi wa Dunia imejengwa bwawa KUBWA kuliko yote Duniani yaani kama bahari (Hekari kwa maefu ya miti zimeangamia) ili wapate source ya umeme wa bei poa nk Na hii ni kwa sababu wachina wanajitambua na hawajali kelele za mlango kunyima mwenye nyumba usingizi
3. Tukiendelea kudanganywa tusijenge barabara/daraja kwenye mbuga za wanyama eti tuna haribu mazingira; uliza mbuga ya wanyama ya Grand Canyon ya Marekani mbona wao wamejenga?
4. Tukiendelea kudanganywa tusitengeneze mradi wa umeme wa bei poa, tutaendelea kuwa masikini na kuwa soko la bidhaa zao kwani hakuna bidhaa utaweza kuzalisha ishindane sokoni kwa bei ya uzalishaji...
5. Tatizo elimu yetu haitupi uwezo wa kufikiri vizuri; ni sawa na mtu anakuambia usisafiri kwa gari kwa kuwa moshi wake unaharibu mazingira hivyo tumia Punda. Kwa ujinga unapanda punda huku ukijisifia kuwa umekuwa mwerevu kwa kupanda Punda ili kulinda mazingira. Shame!!!
6. Kuna sababu nyingi za mabadiliko ya hali ya hewa na Bara la africa kwa ujumla tuna weze kuchangia hayo madhara chini ya 10% fuatilia tena.....
 
Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.

Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.

TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.

Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.

Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu?

Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.

Je, hatukua na option nyingine?

Inasikitisha sana.

Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.

RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Rais samia anabeba mzigo kusawazisha makosa ya awamu iliyopita, ni kwamba anapanda hio miti 4M ama?! #POLITICS
 
Back
Top Bottom