Watanzania tuwe wavumilivu, hili la kupanda bei vifurushi tutavumilia pia

Asubuuutuu...we unaweza kukaa bila bando? Kufilisika tutafilisika sisi... tungeweza kwa kweli tungegoma kutumia bando japo siku 2 tu ndo wangeelewa umuhimy wetu. Mxiuuuu
Hapo ndo tnakamatika, binafsi siwezi kaa bila bando
 
Sina tatizo na Tanzania yetu ya makondoo kwenye kutii na hili.
 
Nilikuwepo huko kwenye social media tofauti naona wengi wanamtupia lawama waziri uhusika, je lawama tunazompelekea ni sahihi kwake na huu uamuzi wa kupandisha bando hamna baraka za wakubwa huko juu?

Waziri anafanywa SCAPEGOAT tu.
 
Dr. Mihogo na umri wa miaka 70+View attachment 1741179
Huyu ni mmoja ya wapumbavu wanaofikiria kwa kutumia nguvu sio akili. Heri utumie theory of large number kwa kuwavuta watu wengi wanunue data kwa bei rahisi lakini wanapniunga wanakuwa wengi zaidi. Hizi PhD nyingine zimeshaexpire. By the way wamezoea kumshauri jiwe upuuzi nae alikuwa anakurupuka tu lakini huyu mama wajipange sana na wakiiendeleza ujinga wengi watapotea kwenye ulimwengu wa siasa.
 
Nilikuwepo huko kwenye social media tofauti naona wengi wanamtupia lawama waziri uhusika, je lawama tunazompelekea ni sahihi kwake na huu uamuzi wa kupandisha bando hamna baraka za wakubwa huko juu?

Waziri anafanywa SCAPEGOAT tu.
No matter what, kuna kitu kinaitwa Ministerial responsibility ambapo kuna collective and personal responsibility. Lawama kwa Dr Faustine zinaelekezwa kwenye personal responsibility maana ukiacha baraza la mawaziri kufanya maamuzi hayo, yeye Waziri mwenye dhamana Ina maana ndio aliyei-table matter kwenye baraza na akaitetea na aliuziwa maswali mengi na akajibu ndipo baraza likafanya hii deliberation ambavyo leo imeleta balaa so to me Faustine has a blame to carry. Unless hakuwepo aliikuta tayari baraza limepitisha pale aliporudishwa.
 
Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu hiyo.

Watanzania ni wavumilivu sana, tumevumilia kupanda kwa bei za sukari, mafuta pamoja na bidhaa zingine, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Watumishi wa umma tumevumilia kutopanda madaraja, kutopata increment, kutopanda vyeo na kutobadilishiwa miundo ya utumishi, kutopata uhamisho hata wa kubadilishana, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Wahitimu wa vyuo tumevumilia kukaa mtaani kwa miaka mingi bila ajira, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Wakulima tumevumilia kukosa bei nzuri za mazao yetu, tumedhulumiwa, korosho ni kilio, siyo pamba, mbaazi wala kahawa yenye unafuu, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Tumevumilia kikokotoo, kupanda riba ya HESLB (8%_15%), wastaafu kukaa miaka bila kupata mafao, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Wafanyabiashara tumevumilia kodi kubwa za bidhaa tunazolangua, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Hii ndo Tanzania ya wanyonge, 'wanyonge' laweza kuwa na maana mbili:
1. Kitenzi
2. Nomino
Mambo ya kupita tu haya, sisi wanyonge tunaelewa maana ya kunyongwa na pia tunakubali kunyongwa, yaani kiroho safi safi tu
 
Weka ushahidi hayo maamuzi ya baraza la mawaziri lililopitisha.

Unataka kusema aliyepo sasa akuwepo mwanzo na kama akupendezewa awezi kukataza kwa nguvu aliyokuwa na nayo sasa?
Soma vizuri although sijaelewa uwezo wa uelewa wako. Sijaongelea mambo ya ushahidi na sijaongea kwamba hana kosa au ana kosa soma sentence yangu ya mwisho labda unaweza kuelewa. In short, suala la wizara kuamua kupandisha gharama zilizowekwa kisheria huwa sio jambo la waziri pekee, huwa anampatia katibu mkuu kiongozi ambaye anaingia kama katibu wa baraza la mawaziri na kuelezea Nia ya kutaka kufanya hivyo na sababu. Baraza linapokaa hujadili hoja mbalimbali za kila wizara ikiwemo utekelezaji wa maagizo ya Rais na utekelezaji wa miradi mbalimbali. So kwangu Mimi ninachoelewa ni kwamba hili ni suala ambalo waziri aliielezea baraza zima na akawashawishi wakaelewa ndipo walipofanya deliberation ya kukubali kupandisha hizi gharama za data nk. So inategemea kama alikuwa ni yeye au mtangulizi wake. Hoping umeelewa.
 
Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu hiyo.

Watanzania ni wavumilivu sana, tumevumilia kupanda kwa bei za sukari, mafuta pamoja na bidhaa zingine, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Watumishi wa umma tumevumilia kutopanda madaraja, kutopata increment, kutopanda vyeo na kutobadilishiwa miundo ya utumishi, kutopata uhamisho hata wa kubadilishana, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Wahitimu wa vyuo tumevumilia kukaa mtaani kwa miaka mingi bila ajira, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Wakulima tumevumilia kukosa bei nzuri za mazao yetu, tumedhulumiwa, korosho ni kilio, siyo pamba, mbaazi wala kahawa yenye unafuu, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Tumevumilia kikokotoo, kupanda riba ya HESLB (8%_15%), wastaafu kukaa miaka bila kupata mafao, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Wafanyabiashara tumevumilia kodi kubwa za bidhaa tunazolangua, iweje tushindwe hili la vifurushi?

Hii ndo Tanzania ya wanyonge, 'wanyonge' laweza kuwa na maana mbili:
1. Kitenzi
2. Nomino

Hmm! Hivi inawezekana tunalalamika kwa kitu tulichokishangilia eeh ! Sasa ndo nimeelewa kuwa hesabu ni janga kwa wengi.
 
Watanzania tumevumilia kwa kupotezwa kwa kina ben Saanane nawengineo wengi sembuse hili,naamin nalolitapita na tutalizoea
 
Hahahahaha....
Mimi huyo na bando la wifi ya chuo na nikimaliza Degree naomba Master
Niko zangu airtel sina happy... 1000/= sms 10,000 siku 30 kila siku sms 333
Anaetaka tuongee anipigie yeye. U.W.B.T org
 
Back
Top Bottom