white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,277
- 13,212
Alama zipi?umesikia huko kuwa lile somo la historia alilokuwa amelazimisha lianze kufundishwa madarasa yote kuanzia July, limetupiliwa mbali licha ya kuwa vitabu tayari vilishaandaliwa kabisa?kisa ni kuwa ni full propaganda za kumsifia tu yeye, hao marais wengine wamegusiwa kidogo tu!!hizo siasa za kishamba, ukatili, ndio legacy?kama ndio hivyo ki ukweli itachukua karne nyingi sana kumpata kiongozi wa aina hiyo, na bahati nzuri Dialo juzi ametupa angalizo zuri sana!!!MUNGU FUNDILegacy ya Magufuli haiwezi kufutika kwa maneno matupu ya chuki, Magufuli alikuwa mtu wa vitendo na siyo maneno matupu.
Mtu anayeweza kufuta Legacy ya Magufuli ni yule atakayetenda na kuacha alama zaidi ya zile alizoacha Magufuli.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app