Binafsi kwa sehemu fulani nakubaliana na wewe kwenye hili, Based on my assessment ya UN trip na mengineyo-Kuna kitu hakijaenda sawa kwenye diplomatic world hasa kuhusiana na hii kesi ya Mbowe and etc. na Mama lazima ameshaelewa repercussion ya baadhi ya mambo kiundani.Going foward kuwa watu hawatakuwa na ajira to save the country though itachukua muda,Mbowe's case itaangaliwa kwa upande mwingine kama ulivyosema pamoja na haki za makundi mbalimbali zitakuwa improved.Mkuu Akasankara , kwani ni yeye?, yaani wewe unakuwa kama hawa mabeberu?, maadam kesi inasikilizwa, nashauri tusiingilie uhuru wa mahakama, nadhani hata Mama hapendi hizo mambo.
Wewe usiwe kama wale mabeberu kudhania hiyo kesi ni mpango wa Mama.
Mimi kwa maoni yangu, hii wiki inayoanza kesho haiishi kabla DPP hajapeleka Nolle!.
P