Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,463
- 113,518
Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Kipindi chote cha Mtangulizi, hizi media za nje zimekuwa zikituzushia mambo mengi tuu ya uongo na uzushi na serikali yetu imekuwa ikinyamaza bila kujibu, matokeo yake ni dunia kuaminishwa uongo, hivyo nashauri serikali yetu, awamu hii, tusinyamazie uongo na uzushi, tujibu mapigo tena kwenye vyombo vyao hivyo hivyo vya kimataifa. Tanzania tuna BBC, Reuters, DW, VOA, Blumberg, SABC, RFI, la Xhinua, tuwaite tuwaeleze ukweli, dawa ya uongo ni kuusema ukweli. Uongo ukisemwa na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, sio tuu utaonekana kama ndio ukweli, bali sometimes hugeuka ukweli kabisa na kuja kutokea kwa sababu kauli nyingine huumba, kama uongo huu
Huu ulikuwa ni uongo tuu na uzushi, tukaunyamazia, ukaja kutokea kweli.
Tanzania ya Samia, tusinyamazie uongo na uzushi, wakizusha tuwaite tuwaeleze ukweli.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Rejea za Mwandishi kuhusu media za Mabeberu.

The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Wanabodi, nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa uongo huo unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa kweli, kwa sababu kauli nyingine zina...
www.jamiiforums.com
Tanzania ya Samia, tusinyamazie uongo na uzushi, wakizusha tuwaite tuwaeleze ukweli.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Rejea za Mwandishi kuhusu media za Mabeberu.
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Wanabodi, Declaration of interest: Mimi ni muhanga wa mimba za utotoni, nimelea watoto wangu wakubwa (the big ones) as a single parent father, na niliwalea kizungu hakuna kuchapwa viboko ni kutumia adhabu mbadala, na being open and I did talk about sex, bring your boyfried or girlfriend home...
www.jamiiforums.com
Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?
Wanabodi, Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu. Hizi Makala zitafuatiwa na Kipindi cha TV chenye jina hilo hilo ambacho kitaanza kutoka kwenye vituo...
www.jamiiforums.com
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!
Wanabodi, Huu ni uzi wa swali kuhusu Serikali Yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian", Jee ni Kweli?. Kama Sii Kweli, inamaanisha ni uongo!, Tusikubali Uongo Huu!, Tuukanushe, maana uongo ukisemwa sana bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka kuwa kweli!. Na uzalendo ni pamoja za kutokubali nchi...
www.jamiiforums.com
Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Wanabodi, Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya ajabu ajabu, huku sisi na serikali yetu tumenyamaza , sasa ni zamu ya jarida la The Economist...
www.jamiiforums.com
Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"?
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa letu, kwa nini tunakubali rais wetu Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, adhalilishwe na Media za Nje kwa kuitwa The 'Bulldozer' Tanzanian President!, na sisi tunakubali na kunyamaza tuu?! huku Kurugenzi yetu ya...
www.jamiiforums.com
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
Wanabodi, Uzalendo ni kutokubali na kutonyamaza kimya wakati rais wako anaposemwa vibaya kwa hoja za uongo na media za nchi nyingine, bali ni kwa media zetu kujitokeza, kuukanusha uongo kwa kuusema ukweli na ikibidi serikali yetu sio tuu ikanushe bali pia ihitaji kuombwa radhi!. Hata Kikwete...
www.jamiiforums.com