Watanzania tuwe makini na haya mambo yasiwe kama ya MISS utalii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tuwe makini na haya mambo yasiwe kama ya MISS utalii

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chaku msowoya, Jun 19, 2011.

 1. c

  chaku msowoya New Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi watanzania wenzangu nadunia kwaujumla mimi ninaswali kwa dunia nzima atakae guswa tushirikiane.Je nivizuri kusikia kwamba matamasha au mashindano makubwa kama ya umiss utalii kua anachoaidiwa mbele ya watu na mamia ya kamera baada ya pale ni hakuna kinachondele haoni chochote naakijaribu kufatili wausika wanakua wakali je nisawa ndugu zangu?
   
 2. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mhhh ngoja uncle Lundenga aje kujibu, binafsi naonaga washindi wa miss tZ wanapewa zawadi zao ukumbini na badae tunawaona mitaani wakitanua na magari yao,,Miss utalii ina maana hakuna zawadi kule? basi ile kupelekwa mamtoni inatosha tu
   
 3. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  Chaku msowoya
  Si vizuri wala sio sawa kabisa, but you have to understand after mashindano, hayo mamia ya kamera and/or people's focus usually move on to the next issue, event and so forth. So unless wewe ni mmoja ya walio karibu na mashindano au mshiriki, life moves on!!! My advise is jaribu kuwashtaki, na kama haitazaa matunda basi wapeleke magazetini hata haya ya udaku ili wamulikwe!!!
   
Loading...