Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muarubaini, May 17, 2012.

 1. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Limekuwa jambo la kawaida kwa mashirika tajwa hapo juu kutoa matangazo ya kaz kutimiza tu matakwa ya sheria lakin tayari huwa wanakuwa na watu wao. Watoto wa vigogo ndo wamekuwa wakinufaika huko walalahoi na vyet vyao vizur wakisaga lami
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hapo ujue adui ni CCM walioweka mfumo wa kupendeleana na rushwa maeneo yote. Ndio maana Pinda anajenga airport ya bilioni tatu Mpanda wakati Mbeya hakuna uwanja wa ndege, wanajenga kwa miaka 15 sasa. Dawa ya upendeleo ni kuiondoa ccm madarakani then kila kitu kitaenda, kwa sasa hata upinge vipi haitasaidia kwani hata rais kawapendelea marafiki wa mwanae ukuu wa wilaya.
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Labda tupate majina na ujuzi wao ili tujue wanastahili au la.
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Tuambie ni nani na nani ni watoto wa vigogo huko TBC, TRA, Ewura nk kabla ya kukubali hoja yako.
   
 6. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  acha kulalamika, ajira zinatangazwa wenzako wanaomba wanapata ajira we unakataa kuomba kwa hisia potofu kuwa watu wamekwishaajiriwa utabaki unachonga saaana wenzako wanapeta na vigezo vyao
   
 7. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mbona iko wazi mno, kwani wabunge wa Afrika mashariki mlala hoi aliyegombea ni yupi? Tuache ya TRA na kwingineko ambako watu wanasoma kwa kuwa mtu anakaribia kustaafu na anaingizwa ili mwingine astaafu mwaka ujao na huyo achukue uzoefu wa mwaka mmoja. Tukitaka tuungane tu tupinge au tuweke misingi ya ajira bora kwa njia ya katiba. Kazi nyeti zote zifanyiwe 'public vetting' na hiyo iwe kweli public si kiini macho. Tuweke kwenye katiba suala la public vetting kwa majaji, wakurugenzi, mawaziri, nk utaona watu udenda utawatoka.
   
 8. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  This idea is a good starting point.
   
 9. M

  Mwanandani Senior Member

  #9
  May 17, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe kama sio choko basi niwali wa mtu.
   
 10. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mmh hapo TRA,BoT,TBC,na Ewura lazima uwe muhaya hata kama huna elimu kazi utapata tu cha msingi uwe na ndugu
   
 11. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Niliitwa B.O.T kufanya interview IT department nilijuta kumbe nilienda kuuza sura kwenye vile viyoyozi maana ilikua ni stress interview kwa wengi wetu undugu unafanyika waziwazi mtu anamleta mtoto wake au ndugu yake bila aibu hawasubiri utaatibu wa kuingia kwa kuitwa wao wanapitiliza na kuondoka sie kina kayumba tuliwekwa hadi jioni
   
 12. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ajira ni tatizo kubwa karibu kila sehemu hapa kwetu Tanzania kujuana kumekithiri! kitu cha kufanya kuongeza uwazi wa kuajiri na nafasi kubwa katika kampuni/taasisi kuombwa na kutahiniwa waziwazi kupitia tv ya taifa ili mtu aajiriwe kwa haki!
   
 13. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tra tbs ewura bot melaaniwa na bado mwaila laana kwa kujiirikisha kindugu soko la ajira huku watoto wa walala hoi wanakufu masikn magamba mlaaniwe kwa kuedekeza hili
   
 14. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maskini Tanzania haya yote yanatokana na wimbi la wasomi waliopo mitaani huku serikali haina uwezo wa kuwaajiri wala kuwawezesha kujiajiri. Inabidi tuukatae mfumo wa serikali yetu ya sasa kwa mabadiliko ya taifa letu.

  Dogo langu ameshafanya interview 2 katika moja ya taasisi hizo ngojea tuone labda kajamba nani wangu ataibuka kidedea
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kuna classmate wa mdogo wangu ana diploma ya transport management alipangiwa kazi ofisi ya takwimu ya taifa baada ya kufaulu usaili aliofanyiwa na sekreatarieti ya ajira ktk utumishi wa umma.
  Alipokwenda kuripoti kazini alikopangiwa baada ya siku mbili akaambiwa nafasi ya TO bajeti yake haipo kwakuwa waliajiri mtu mwingine baada ya kuona TO haikuwa na haraka sana.
  Baadae akaja kugundua kwamba alifanyiwa uhuni ili kuwapa mwanya tume ya takwimu kuajiri mtoto wa Prof.mmoja hivi wa UDSM!!
  Ajira za sasa serikalini imekuwa ni heka heka.
   
 16. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa makini sna nahoja hizi ambazo zinatia hasira sana kwani dogo wangu mwenye GPA 4.2 na mwenye GPA 2.5 nani angepata ajira? but mwenye 2.5 amepata ndg live na ushahidi ninao na wote wamemaliza IFM 2010
   
 17. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  hivi gpa ya 2.5 jina jingine inaitwaje?
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  gentleman pass
   
 19. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kazi kweli kweli mkimaliza hapo mkapinge na udini NSSF kwa Dau
   
 20. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mimi nimelata tamaaa... Ile sekretariat ya ajira ivunjwe?? Kuna ufisadiiiiii
   
Loading...