Watanzania tutavumilia hadi lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tutavumilia hadi lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hakikwanza, Jan 25, 2011.

 1. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Jamani Great thinkers naomba niulize tutavumilia hadi lini upuuzi huu.MEREMETA,KAGODA,KIWIRA,UNUNUZI WA RADA,EPA,RICHMOND NA SASA DOWANS na ufisadi mwingine mwingi tu uliolighalimu Taifa bila mtu hata moja aliyehusika kuwajibishwa?Sasa kwa haya huo uwezo wetu mkubwa wa kufikiri upo wapi? "Yaliyo pita ni ndwele" pia "kombe halifunikwi na mwanaharamu hapiti" na wasilisha hoja na asanteni
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi kizazi hiki hakuna wanamapinduzi kama wale wa enzi zile akina Fidel Castrol, Che Guevara,......n.k
   
 3. K

  Kide Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  viongoz wetu wamekosa uthubutu coz thy r involvd too mch kwny huo ufisadi...na wamekosa kile ki2 alichosema jeneral pale nkurumah 'ethos'!
   
Loading...