Watanzania tuseme hapana kwa Tundu Lissu!!!

Za asubuhi ndugu zangu,

Kwa takribani wiki moja hivi kumekuwa na mjadala mzito ambao umeanzishwa na ndugu yetu,rafiki yetu na mbunge wa singida mashariki TUNDU LISSU.

Mbunge huyu kijana na msomi wa sheria lakini asiyekuwa mzalendo wala na utulivu amekuwa akitoa kauli chafu dhidi ya Mh Rais na serikali yake.

Kauli anazozitoa si za kiungwana na wala sio za kiuongozi labda huwa anazungumza akiwa na hasira,chuki na kisasi moyoni mwake,lakini ukweli ni kwamba anaharibu mno na anakosea sana kumkashifu Rais aliyechaguliwa na watanzania kwa mujibu wa katiba yetu.

Anachokifanya hakiwezi kuwa sululuhisho la kuumizwa kwake huenda ndio anajijengea mazingira hatari mno kwa siku za mbeleni,ni hatari kwa sababu anajijengea uadui mkubwa na wananchi walio wengi ambao hawafurahishwi na kauli zake.

Siku zote mtu mwenye msimamo mkali sio mzuri hata mara moja anaweza kuleta balaa kubwa kwenye Taifa,hatukatai kuwa na msimamo na kujiamini lakini inasisitizwa isiwe too much kwa sababu kuna vitu lazima vitokee katika maisha ili tujifunze,funzo kubwa kwa Lissu angetakiwa atulie na kupanga mikakati kimya ili hata ni uongozi basi apatiwe.

Wote kwa pamoja tupaze sauti zetu kupingana na kauli za ovyo dhidi ya serikali na vyombo vya ulinzi zinazoenezwa na huyu Lissu kwa sababu sio salama kwa Taifa na ni kinyume na utamaduni wetu.

Suala la yeye kuumizwa na watu wasiojulikana lisiwe chanzo cha kubomoa utaifa wake akumbuke bado ana safari katika maisha yake.

Kikubwa hawezi pambana na serikali akashinda sana labda ataichafua tu tena kwa muda,lakini ataumia vibaya na mwisho atakuwa mkimbizi.

Wote tumemuona Rais mpya wa DRC Felix Tshekedi alikimbilia Nchini Belgium alienda akatulia akajipanga kwa utulivu sio kwa kutokwa na maneno ya ovyo ovyo na hatimaye Leo ni mkuu wa Nchi aliyoikimbia hapo awali,uongozi unahitaji vitu vingi na sio akili za kitundu Lissu.

Tumpinge huyu tuungane na Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama.
Sema wewe na mburula wenzako mnaoishi kwa matumaini ya kuteuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Nani hasa wa kutuambia tumpinge Lissu na kuungana na jiwe?

Hivi aliyofanyiwa yeye ndo uzalendo? naomba nikukumbushe kuwa anaikosoa serikali na siyo taifa. unaskia raha sana kusema mwananchi mwenzio atakuwa mkimbizi wakati wewe mwenyewe sasa hivi unaishi kama mkimbizi katika nchi yako. Tuache kutetea walioko madarakani eti kwa sababu ya immunity, hata wananchi nao wanahitaji immunity waweze kuishi kwa amani katika nchi yao..... tundu lissu angekuwa baba au ndugu yako wala usingekuwa unasema usemayo.
 
Joseph Sokoine,,,hajafukuzwa ubalozi,bali alifanyiwa mabadiliko ambayo ni kawaida katika utendaji wa serikali.
Na hadi sasa kama sijakosea ni katibu mkuu wizara(sijaipata vizuri)
OK MKUU IMEFANYIKA MARA TU BAADA YA KUMTEMBELEA LISSU....,WATABADILISHANA SANA MPAKA WASAHAU VYEO VYAO.
 
kwanini msitafute msemaji mmoja huko ccm ambaye atakuwa analeta nyuzi zinazomhusu lissu? maana kila mwanaccm akipata bando sasa hivi anakimbilia kutoa habari zinazomhusu lissu. Au mmeambiwa atakayeleta habari nyingi atalamba uteuzi?
Watetezi mbumbumbu zuzu huko CCM wote wanasaka teuzi kupitia mgongo wa Tundu Lisu cha ajabu mada zao zote zinafanana sana eti Tundu Lisu analichafua Taifa na mengineyo, wamesahau kuwa bila wao kumpiga Risasi leo hii asingekuwa ulaya na Marekani na mjadala huu usingekuwepo mitandaoni chanzo cha yote ni Bashite na kikundi chake kwenda Dodoma kumpiga Risasi.
 
Hivi aliyofanyiwa yeye ndo uzalendo? naomba nikukumbushe kuwa anaikosoa serikali na siyo taifa. unaskia raha sana kusema mwananchi mwenzio atakuwa mkimbizi wakati wewe mwenyewe sasa hivi unaishi kama mkimbizi katika nchi yako. Tuache kutetea walioko madarakani eti kwa sababu ya immunity, hata wananchi nao wanahitaji immunity waweze kuishi kwa amani katika nchi yao..... tundu lissu angekuwa baba au ndugu yako wala usingekuwa unasema usemayo.

CCM wengi hawajui maana ya neno Uzalendo wanazani Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani kisha wakienda nje wanawanyima pesa za matibabu na kuwapora mishahara, Uzalendo kwa CCM ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtisha CAG
 
Za asubuhi ndugu zangu,

Kwa takribani wiki moja hivi kumekuwa na mjadala mzito ambao umeanzishwa na ndugu yetu,rafiki yetu na mbunge wa singida mashariki TUNDU LISSU.

Mbunge huyu kijana na msomi wa sheria lakini asiyekuwa mzalendo wala na utulivu amekuwa akitoa kauli chafu dhidi ya Mh Rais na serikali yake.

Kauli anazozitoa si za kiungwana na wala sio za kiuongozi labda huwa anazungumza akiwa na hasira,chuki na kisasi moyoni mwake,lakini ukweli ni kwamba anaharibu mno na anakosea sana kumkashifu Rais aliyechaguliwa na watanzania kwa mujibu wa katiba yetu.

Anachokifanya hakiwezi kuwa sululuhisho la kuumizwa kwake huenda ndio anajijengea mazingira hatari mno kwa siku za mbeleni,ni hatari kwa sababu anajijengea uadui mkubwa na wananchi walio wengi ambao hawafurahishwi na kauli zake.

Siku zote mtu mwenye msimamo mkali sio mzuri hata mara moja anaweza kuleta balaa kubwa kwenye Taifa,hatukatai kuwa na msimamo na kujiamini lakini inasisitizwa isiwe too much kwa sababu kuna vitu lazima vitokee katika maisha ili tujifunze,funzo kubwa kwa Lissu angetakiwa atulie na kupanga mikakati kimya ili hata ni uongozi basi apatiwe.

Wote kwa pamoja tupaze sauti zetu kupingana na kauli za ovyo dhidi ya serikali na vyombo vya ulinzi zinazoenezwa na huyu Lissu kwa sababu sio salama kwa Taifa na ni kinyume na utamaduni wetu.

Suala la yeye kuumizwa na watu wasiojulikana lisiwe chanzo cha kubomoa utaifa wake akumbuke bado ana safari katika maisha yake.

Kikubwa hawezi pambana na serikali akashinda sana labda ataichafua tu tena kwa muda,lakini ataumia vibaya na mwisho atakuwa mkimbizi.

Wote tumemuona Rais mpya wa DRC Felix Tshekedi alikimbilia Nchini Belgium alienda akatulia akajipanga kwa utulivu sio kwa kutokwa na maneno ya ovyo ovyo na hatimaye Leo ni mkuu wa Nchi aliyoikimbia hapo awali,uongozi unahitaji vitu vingi na sio akili za kitundu Lissu.

Tumpinge huyu tuungane na Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama.
TL episode is a case study which will distiguish the Good from Bad. Evil from God. Wasiojulikana na wanaojulikana, wanafiki na wazalendo, wajinga na warevu.
 
Back
Top Bottom