Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,652
Ni muda muafaka sasa watanzania tupiganie katiba mpya. Bra shaka sasa kila mtanzania ameshapata funzo kutoka uchaguzi unaoendeea kenya.
♂️naenda zimbobo.
♂️naenda zimbobo.
Siyo tuombe, tuwajulishe tu polisi kwamba sisi wenye nchi tutafanya maandamano ya amani kudai Katiba mpya
Naunga mkono hoja 100% [HASHTAG]#katiba[/HASHTAG] mpyaNi muda muafaka sasa watanzania tupiganie katiba mpya. Bra shaka sasa kila mtanzania ameshapata funzo kutoka uchaguzi unaoendeea kenya.
♂️naenda zimbobo.
Wewe ni katika wale wakusoma na kuandika .yaani miaka 4 Leo katiba inaimbishwa jf na kila kona .huna aibu kuja na swali kama hili jf !!??Katiba itamsaidiaje bib yangu kule kijijin.. Najarib kuwaza tu lakin
Na muda uliotumia kuingia humu nao unasaka pesa?Itakuwa juma ngapi? Mana mm niko bize j3 to j1 nasaka pesa. Jumapili namtukuza Mungu!