Watanzania tunaunganishwa, pamoja tutaiondoa CCM

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,454
2,000
1. Tunakoelekea vyama vyote vya upinzani vitakufa
2. Tutakuwa na chama kimoja tu, CCM, hivyo raia wote tutakuwa CCM
3. Wananchi watakuwa wapinzani ndani ya mioyo yao bila kuwa na vyama vya upinzani
4. Kwakuwa nchi nzima tutakuwa CCM na tuna maumivu ndani ya mioyo yetu hivyo upinzani utaongezeka
5. Kwakuwa wanachama wa CCM watakuwa wengi na vyeo vya kugawana (wanasiasa wenye tamaa) vitakuwa vichache hivyo siri za ndani ya chama zitakuwa zikivuja kwa urahisi sana
6. Kwamaana hiyo kutakuwa na mpasuko mkubwa sana ndani ya chama ambao utasaidia CCM kupoteza madaraka
7. Kama Zimbabwe walivyokuwa kitu kimoja ipo siku nasisi tutakuwa kitu kimoja na tutamuondoa mkoloni mweusi

Naamini kuna siku nitakufa lakini hii thread haitakufa kamwe.
 
sonaderm

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
617
1,000
Tatizo CHADEMA au vyama vilivyopo vya upinzani ni walaghai!Labda kitokee chama kingine kipya cha upinzani na watu au viongozi wapya kabisa!Akina mbowe, Lema, Zitto, Mbatia et al wameshafeli
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,660
2,000
Lakini mkuu ccm lazima tuitoe 2020 mkuu hakuna kusubilia hadi huko ni lazima tumuondoe huyu joka jeusi

Swissme
 
bokoharam007

Senior Member
May 11, 2012
172
225
1. Tunakoelekea vyama vyote vya upinzani vitakufa
2. Tutakuwa na chama kimoja tu, CCM, hivyo raia wote tutakuwa CCM
3. Wananchi watakuwa wapinzani ndani ya mioyo yao bila kuwa na vyama vya upinzani
4. Kwakuwa nchi nzima tutakuwa CCM na tuna maumivu ndani ya mioyo yetu hivyo upinzani utaongezeka
5. Kwakuwa wanachama wa CCM watakuwa wengi na vyeo vya kugawana (wanasiasa wenye tamaa) vitakuwa vichache hivyo siri za ndani ya chama zitakuwa zikivuja kwa urahisi sana
6. Kwamaana hiyo kutakuwa na mpasuko mkubwa sana ndani ya chama ambao utasaidia CCM kupoteza madaraka
7. Kama Zimbabwe walivyokuwa kitu kimoja ipo siku nasisi tutakuwa kitu kimoja na tutamuondoa mkoloni mweusi

Naamini kuna siku nitakufa lakini hii thread haitakufa kamwe.
Mkuu uko sahihi lkn kuua upinzani ni kuogopa challenge au kuogopa upinzania ambao hata Mbinguni mpinzani wa Imani ni Shetani ambaye alikuwa Malaika mkuu wa wote. Hata USA kuna Republican na Democratic kipimo ni upinzani. Na ukitaka kuwa kama China hatuwezi viongozi wote kutoka A-Z wote ni corrupt China ukiwa corrupt unafungwa na risasi juu au kifungo cha ukweli sio cha miaka 3 alafu unapewa kifungo cha nje ukafagie hospitali.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,313
2,000
Mnataka tuwe 'kitu kimoja' Kama Libya, Tunisia, Egypt, Iraq kuwatoa Watawala Halafu wanajuta?, unataka tuwe kitu Kimoja Kama Burundi kuwatoa kina Buyoya na kuingiza Nkurunzinza?,

Sie Kwa Maslah ya Nchi yetu hatutakuwa 'kitu kimoja'
 
UNKNOW DEVIL HIMSELF

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
25,378
2,000
1. Tunakoelekea vyama vyote vya upinzani vitakufa
2. Tutakuwa na chama kimoja tu, CCM, hivyo raia wote tutakuwa CCM
3. Wananchi watakuwa wapinzani ndani ya mioyo yao bila kuwa na vyama vya upinzani
4. Kwakuwa nchi nzima tutakuwa CCM na tuna maumivu ndani ya mioyo yetu hivyo upinzani utaongezeka
5. Kwakuwa wanachama wa CCM watakuwa wengi na vyeo vya kugawana (wanasiasa wenye tamaa) vitakuwa vichache hivyo siri za ndani ya chama zitakuwa zikivuja kwa urahisi sana
6. Kwamaana hiyo kutakuwa na mpasuko mkubwa sana ndani ya chama ambao utasaidia CCM kupoteza madaraka
7. Kama Zimbabwe walivyokuwa kitu kimoja ipo siku nasisi tutakuwa kitu kimoja na tutamuondoa mkoloni mweusi

Naamini kuna siku nitakufa lakini hii thread haitakufa kamwe.

MACHIZI.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom