watanzania tunaumwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watanzania tunaumwa!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamageuko, Mar 23, 2011.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  IWE IWAVYO...
  WENGI WETU WATANZANIA TU WAGONJWA!
  NA MARADHI MAKUBWA AMBAYO NAWEZA KUYAITA NI JANGA LA KITAIFA KWA SASA.. HAKUNA MTANZANIA ANAETAKA KUUTAFUTA UKWELI WALA KUDADISI JUU YA MAMBO YANAYOJIRI KATIKA NCHI HII... HAKUNA MTU ANAETAKA KUJUA IKIWA LEO NI HIVI KESHO ITAKUWAJE!? WENGI WETU TUMEBAKI KWENDA NA KILA FUNUNU INAYOJITOKEZA...

  WATANZANIA TUNA GONJWA LA MAFUNUNU!:redfaces::angry:

  Baada ya miaka kupita UKWELI UNAANZA KUONEKANA
   
Loading...