Watanzania tunashindwa kuendelea kwa sababu ya kutegemea nguvu za ushirikina

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wana JF

Nimetafakari kwa undani baadhi ya mambo yanayotukwamisha sisi kama Watanzania ni hii ya wengi wetu kuamini katika nguvu za giza (Ulozi). Tazama viongozi wetu katika michezo hawaamini ushindi bila kufanya ushirikina, tazama viongozi wetu wa kisiasa wanavyojihusisha na ushirikina na hata kufikia hatua ya kutangazwa wamewekewa ulinzi wa kishirikina. Kwa misingi hiyo ubunifu unatuishia tunatafuta njia za mkato za kufanikiwa kwa kuwa akili zinaduwazwa na ushirikina.
 
Mkuu siyo kwenye michezo tu, hukumbuki kuwa hata JK analindwa na majini ya Sheikh Yahya?Sasa kama ushirikina umeanzia ofisi kubwa kuliko zote nchini unategemea nini kama siyo nchi kuambukizwa roho ya ushirikina.
 
Hiv JK alishawahi kusema kwa mdomo wake? kwa nini mnamhukumu jamaa wakati hahusiki? mbona mshirikina tahaya amesema mengi tu mbona hayatokei. hamkumbuki siku wanachama wa simba walipoenda kummaliza akaita msaada wa police? Tafakari, chukua hatua.
JK ni mdemokracia na ndo maana kila mtu anauhuru wa kusema lolote atakalo kama wewe utakavyokuja nitukana baada ya kusoma habari hii. Think.
 
sa mbona hakukanusha wkt anajua yeye ndo kchwa cha nchi?

Back
Top Bottom