Watanzania tunashangazwa na ukimya wa Rais Magufuli baada ya kupokea report ya CAG

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Ni takriban siku 10 toka Rais magufuli apokee report ya CAG. Cha kushangaza amekuwa kimya mpaka sasa utadhani sio yule aliyekuwa akijitamba ni kiboko wa mafisadi. Kwanza report kaipokea kimya kimya.

Tulitengemea angekuwa wa kwanza kumpongeza CAG kwa kazi nzuri aliyofanya ya kugundua madudu mbalimbali katika taasisi mbalimbali za serikali. Ila mpaka sasa hajawai kutamka neno CAG kwenye kinywa chake.

Tunakuwa na wasiwasi kama ni kweli ndye aliyeanzisha vita ya mafisadi au imekuwa kinyume yake sasa. Wengine tunaanza kuhisi kuwa ndye anakingia kifua mafisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe kapiga sana kwenye v20 ndo maana kainama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Pia, nilibainisha kwamba kiwango cha malipo ya hitimisho la kazi kwa viongozi wa kisiasa hakijawekwa wazi kwenye sheria. Hii ni kutokana na marekebisho yaliyofanyika kwenye kifungu cha 21 (3) cha Sheria ya Mafao kwa Viongozi wa Kisiasa ya mwaka 1999 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2005) kwa kufuta kiwango kilichokuwa kimebainishwa; na badala yake kuipa nguvu mamlaka husika kutathmini kiwango cha malipo hayo. Hiyo itafanya malipo hayo yaathiriwe na maamuzi ya mamlaka hiyo"; CAG 2017/18 Audit Report; Pg. xxxii

"Viongozi wa Kisiasa"; hawa ndio akina nani ambao CAG anabainisha kwamba hawana sheria inayo-guide terminal benefits zao ilhali walalahoi tunatungiwa kila aina ya sheria, kanuni, vikokotoo, n.k. tena kwa jasho letu halali?

"Serikali kupitia kwa Maafisa Masuuli iimarishe udhibiti na utaratibu wa kufanya mapitio ya uandaaji wa mafao. Hii itahakikisha kuwa waandaaji wa mafao ya kiinua mgongo na pensheni wanafuata kanuni na vigezo vya ukokotoaji na sheria kabla ya kuwasilisha kwa ukaguzi wa awali wa malipo. Aidha, kuepuka kucheleweshwa kwa mafao ya hitimisho la kazi na hasara kwa serikali"

"Serikali kupitia Mamlaka husika wafanyie marekebisho kifungu cha 21(3) cha Sheria ya Mafao ya Hitimisho la Kazi kwa Viongozi wa Kisiasa ya mwaka 1999 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2005) kwa kuainisha kiwango cha malipo ya posho la hitimisho la kazi."

... anashauri CAG; Uk. xxxiii
 
Huyu Mzee hata haeleweki anasimamia nini kwa kwelo. Anajifanya anapinga ufisadi kwa muonekano wa nje,lakini kiuhalisia na yeye ni fisadi namba moja.

Huyu Mzee, akisikia watu wamepiga hata 10M basi lazima akipata kaupenyo cha kuhutubia wananchi lazima azungumzie hiyo 10M ilivyopigwa na wajanja,lakini leo amepata taarifa za wapigaji za kutisha mpaka sasa ni zaidi ya siku 10 lakini hajasema chochote. Mungu alivyo-mwema basi, wiki hii zote yupo kwenye dhiara zake za mikoani,kwahyo kila siku anapata airtimw ya kuhutubia wananchi,lakini amejikausha kama vile siyo yeye vile !!!. Kweli unafki ni KIPAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni takriban siku 10 toka Rais magufuli apokee report ya CAG. Cha kushangaza amekuwa kimya mpaka sasa utadhani sio yule aliyekuwa akijitamba ni kiboko wa mafisadi. Kwanza report kaipokea kimya kimya.

Tulitengemea angekuwa wa kwanza kumpongeza CAG kwa kazi nzuri aliyofanya ya kugundua madudu mbalimbali katika taasisi mbalimbali za serikali. Ila mpaka sasa hajawai kutamka neno CAG kwenye kinywa chake.

Tunakuwa na wasiwasi kama ni kweli ndye aliyeanzisha vita ya mafisadi au imekuwa kinyume yake sasa. Wengine tunaanza kuhisi kuwa ndye anakingia kifua mafisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee meko ataongea nini wakati report imemuumbua.
Hana uwezo wowote wa kuongoza nchi hii. Sasa amebaki kuzungukwa na walinzi wa kukodiwa. Look like amejawa hofu fulani.
 
Huyu Mzee hata haeleweki anasimamia nini kwa kwelo. Anajifanya anapinga ufisadi kwa muonekano wa nje,lakini kiuhalisia na yeye ni fisadi namba moja.

Huyu Mzee, akisikia watu wamepiga hata 10M basi lazima akipata kaupenyo cha kuhutubia wananchi lazima azungumzie hiyo 10M ilivyopigwa na wajanja,lakini leo amepata taarifa za wapigaji za kutisha mpaka sasa ni zaidi ya siku 10 lakini hajasema chochote. Mungu alivyo-mwema basi, wiki hii zote yupo kwenye dhiara zake za mikoani,kwahyo kila siku anapata airtimw ya kuhutubia wananchi,lakini amejikausha kama vile siyo yeye vile !!!. Kweli unafki ni KIPAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa amebaki kuzungumzia mahindi ya kuchoma tu
 
Back
Top Bottom