Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Ni takriban siku 10 toka Rais magufuli apokee report ya CAG. Cha kushangaza amekuwa kimya mpaka sasa utadhani sio yule aliyekuwa akijitamba ni kiboko wa mafisadi. Kwanza report kaipokea kimya kimya.
Tulitengemea angekuwa wa kwanza kumpongeza CAG kwa kazi nzuri aliyofanya ya kugundua madudu mbalimbali katika taasisi mbalimbali za serikali. Ila mpaka sasa hajawai kutamka neno CAG kwenye kinywa chake.
Tunakuwa na wasiwasi kama ni kweli ndye aliyeanzisha vita ya mafisadi au imekuwa kinyume yake sasa. Wengine tunaanza kuhisi kuwa ndye anakingia kifua mafisadi.
Sent using Jamii Forums mobile app