Watanzania tunanyanyasika malawi!

Usiende nje ya nchi ukitegemea umoja wa WTZ kukusaidia. Kitu muhimu ni kufahamu sheria ambazo zinakulinda ukiwa ugenini, mfano kuwasiliana na ubalozi wa nchi yako na kuwaeleza upo pale kwa shughuli gani utakuwepo kwa muda gani nk. Pindi ukishikwa kitu cha kwanza popote pale utakapokuwepo unawasiliana nao na kuwaambia upo wapi nk. Kama wamekufunga jela na watakupeleka mahakamani au watakurudisha TZ etc.

Jambo jingine ni kuwa na fweza za kuweza kulipa kwa wakili ambaye atakuwakilisha kwenye jambo lolote kama unafanya biashara yenye faida nzuri vile vile kuwa na uhalali wa kuwepo pale. Usiingie kwa njia za panya, nenda na passport na uvuke mpaka kihalali. Know your rights na angalia shughuli unayofanya kama unaruhusiwa kuifanya, usijiingize kwenye biashara ambayo ni ya magendo au pengine wageni hawaruhusiwi kuifanya, declare mali zako kama ni za kuuza na uwe na risiti etc. Usiingize mzigo kwa magendo fuata njia halali ingawaje faida inaweza kuwa ndogo in a long term itajilipa.
 
Nendeni ofisi ya ubalozi wa Tanzania hapo Malawi mripoti hiyo issue kwani kuendelea kujificha sio suluhu, kama mko kisheria na shughuli halali hakuna sababu ya kujificha.
 
Usiende nje ya nchi ukitegemea umoja wa WTZ kukusaidia. Kitu muhimu ni kufahamu sheria ambazo zinakulinda ukiwa ugenini, mfano kuwasiliana na ubalozi wa nchi yako na kuwaeleza upo pale kwa shughuli gani utakuwepo kwa muda gani nk. Pindi ukishikwa kitu cha kwanza popote pale utakapokuwepo unawasiliana nao na kuwaambia upo wapi nk. Kama wamekufunga jela na watakupeleka mahakamani au watakurudisha TZ etc.

Jambo jingine ni kuwa na fweza za kuweza kulipa kwa wakili ambaye atakuwakilisha kwenye jambo lolote kama unafanya biashara yenye faida nzuri vile vile kuwa na uhalali wa kuwepo pale. Usiingie kwa njia za panya, nenda na passport na uvuke mpaka kihalali. Know your rights na angalia shughuli unayofanya kama unaruhusiwa kuifanya, usijiingize kwenye biashara ambayo ni ya magendo au pengine wageni hawaruhusiwi kuifanya, declare mali zako kama ni za kuuza na uwe na risiti etc. Usiingize mzigo kwa magendo fuata njia halali ingawaje faida inaweza kuwa ndogo in a long term itajilipa.

Nashukuru mkuu kwa maelezo yako!
 
Jana usiku wamekuja kutugongea majumbani wamekamata watanzania nane, Hata uwe na paspot wanakuchukua hadi saiz tupo mafichoni!

poleni sana. lakini hiyo si ajabu kwa mtanzania kunyanyaswa ,hata akiwa ndani ya nchi yake...if you can change to be of other nationality ,that might help...take care.
 
Pole Edgartz,

1. Nchi zenye sera za mambo ya nje, huwa zina "reciprocation policy". Tanzania ingekuwa na sera kama hiyo, hayo yote yasingewakuta.

2. Endelea kufanya biashara huko. Ila katika kipindi hiki kigumu, kama unaweza rudi Tanzania kwa muda.

3. Uzoefu nilioupata nilipoenda ofisi moja ya ubalozi wa Tanzania, unanifanya nisiwe na matumaini kwamba watawasaidia lolote la maana huko, kwa vile hayo matatizo mnayoyapata huenda hayapo kwenye hadidu za rejea za kuwapo kwao kwenye ubalozi.

Mlenge
 
Watanzania kwa sababu tumelala ndio tkahisi tunaonewa kila sehemu duniani. This week Zimbabwe wanafunga maduka yote yaliokuwa hayaajiri wazawa 51% wqageni wanakimbizana Harare sasa hivi licha ya mgogoro wa kisiasa wenzetu wanalinda haki za raia wao sio Bongo wat uwanaingia wanakodi nyumba , wananunua nyumba Ilala na Mwananyama kesho wanfungua duka , na wanakuhongen i wasilipe kodi na munachukua kitu kidogo kwa hiyo musifikiri kila pahali ni Bongo. It happen to me ten yrs ago I was in Lusaka and in Harare , I will not be suprized kuona Wabongo munataka kufanya kazi za Chinga , Lilongwe , Lusaka au Harare no go back to Kariakoo ukachezee Virungu
Hizo ndio sera za chama chetu Tawala , rudini Pale KAriakoo mukumbane na virungu vya ndugu zenu sio wayahudi na Wapalestina ni wabongo kwa wabongo ALuta continua.
 
Jana usiku wamekuja kutugongea majumbani wamekamata watanzania nane, Hata uwe na paspot wanakuchukua hadi saiz tupo mafichoni!
Dah Poleni sana.Wamalawi wamejaa tele kinondoni wanaishi raha mustarehe hakuna anayewabughudhi hata kidogo.
 
hiyo hali sio malawi tu, hata ukifika Bot, Swaz, Leso, Nam, RSA wanakuwaga na kampeni maalumu kwa foreignerz, na nchi hizo lazima karatasi zako ziwe sawsawa,
ni hapa bongo tu unakuta mzawa na foreigner wanagombea kazi ambayo hata mzawa anaiweza vizuri
poleni sana waangaikaji, si siasa yetu ndio inayowatesa,

Karibuni Kenya, hamna atakayewanyanyasa.
 
Dah Poleni sana.Wamalawi wamejaa tele kinondoni wanaishi raha mustarehe hakuna anayewabughudhi hata kidogo.

Huenda wanayo makaratasi au walishapeleka fweza ya protection (jizya) huko kwa wenye meno. Uwez jua.

Nways hata kama hawana documents husika, sasa wewe ulitegemea wafanywe nini? Nchi yetu ni shamba la bibi, na kila mtu anajali tumbo lake tu.
 
Pole Edgartz,

1. Nchi zenye sera za mambo ya nje, huwa zina "reciprocation policy". Tanzania ingekuwa na sera kama hiyo, hayo yote yasingewakuta.

2. Endelea kufanya biashara huko. Ila katika kipindi hiki kigumu, kama unaweza rudi Tanzania kwa muda.

3. Uzoefu nilioupata nilipoenda ofisi moja ya ubalozi wa Tanzania, unanifanya nisiwe na matumaini kwamba watawasaidia lolote la maana huko, kwa vile hayo matatizo mnayoyapata huenda hayapo kwenye hadidu za rejea za kuwapo kwao kwenye ubalozi.

Mlenge

Nashukuru kwa ushauri mkuu ni kweli barozi zetu zinakuwa hazina msaada wowote hata ukienda wanakwambia wanafuatilia siku zinazidi kwenda watu wanazidi kusota gerezani
 
Msije mkawa mafisadi wa kulowea kama wanyaru waliorudishwa mwaka wa 2006 kama sikosei maana mafisadi wako wa aina nyingi ati. ukiangalia wanyaru wakati wanarudishwa kwao yalisemwa mengi wakati wengine waliingia TZ tangu miaka ya hamsini hata hatujapata uhuru na wakawa wanaishi kama wa TZ lakini hawakuwakuwa na vibali vya kuishi nchini na wala hawakubadilii uraia wao hivyo 40 yao ilipofika wengi walilalamika kuwa wananyanyaswa, wananyang'anywa mifugo n.k wa kadhaa hiyo yote ni kutokana na kutokujua taratibu za uhamiaji na sheria za nchi yetu zinasemaje.

sasa na nyie muangalie kuwa je kwanza mlipofika huko mliripoti kwenye Ubalozi wenu na kujiandikisha? maana unaporipotu naamini mambo mengine ambayo huyajui Ubalozi watakueleza.

2. Mna vibali vya kuishi na kufanya biashara huko Malawi? maana wengine wanafikiria kuwa akishakuwa na pasipoti na kwa kuwa halipi viza ya kuingia malawi basi akishavuka mpaka na kugongewa entry stamp ndio imemhalalisha kuishi na kufanya biashara kwenye nchi ya watu. Unaruhusiwa kuishi kwenye nchi ya watu siku 90 tu zaidi ya hapo unatakiwa kuwa na vibali vya kuishi , kufanya kazi au biashara bila hivyo wewe ni mhamiaji haramu. unatakiwa kabla hujaenda kwenye nchi ya watu ujue taratibu za uhamiaji zinasemaje na pia uzijue haki zako bila hivyo kulalamika hakutakwisha. Ukizijua haki zako hata anayekukamata hawezi kukunyanyasa kirahisi kwa sababu anapokunyanyasa anajua fika na wewe unazijua taratibu na haki zako hivyo wakati wowote kibao kinaweza kumrudia.

3. Je mnalipa ushuru na kufuata taratibu za nchi husika.

kama ni ndiyo mnatakiwa mpige simu Ubalozini mara moja kuwaeleza matatizo yanayowakabili ili uwasaidie. na kama sio hao wamalawi wanatakiwa wawarudishe Tanzania ndani ya 24hrs kama sio kuwafunguliia mashitaka ya kuishi na kufanya biashara kinyume na taratibu za nchi. yaani wahamiaji haramu.
 
Jana usiku wamekuja kutugongea majumbani wamekamata watanzania nane, Hata uwe na paspot wanakuchukua hadi saiz tupo mafichoni!
Acha masihara wewe unataka kusema huko Malawi maficho yao yana access nya internet?Biashara gani mnafanya au za madawa ya kulevya?
 
Leo wenzetu waliokamatwa ndo wanafikishwa maakamani sijui maakama itaamua nini ngoja tusubili
 
Msije mkawa mafisadi wa kulowea kama wanyaru waliorudishwa mwaka wa 2006 kama sikosei maana mafisadi wako wa aina nyingi ati. ukiangalia wanyaru wakati wanarudishwa kwao yalisemwa mengi wakati wengine waliingia TZ tangu miaka ya hamsini hata hatujapata uhuru na wakawa wanaishi kama wa TZ lakini hawakuwakuwa na vibali vya kuishi nchini na wala hawakubadilii uraia wao hivyo 40 yao ilipofika wengi walilalamika kuwa wananyanyaswa, wananyang'anywa mifugo n.k wa kadhaa hiyo yote ni kutokana na kutokujua taratibu za uhamiaji na sheria za nchi yetu zinasemaje.

sasa na nyie muangalie kuwa je kwanza mlipofika huko mliripoti kwenye Ubalozi wenu na kujiandikisha? maana unaporipotu naamini mambo mengine ambayo huyajui Ubalozi watakueleza.

2. Mna vibali vya kuishi na kufanya biashara huko Malawi? maana wengine wanafikiria kuwa akishakuwa na pasipoti na kwa kuwa halipi viza ya kuingia malawi basi akishavuka mpaka na kugongewa entry stamp ndio imemhalalisha kuishi na kufanya biashara kwenye nchi ya watu. Unaruhusiwa kuishi kwenye nchi ya watu siku 90 tu zaidi ya hapo unatakiwa kuwa na vibali vya kuishi , kufanya kazi au biashara bila hivyo wewe ni mhamiaji haramu. unatakiwa kabla hujaenda kwenye nchi ya watu ujue taratibu za uhamiaji zinasemaje na pia uzijue haki zako bila hivyo kulalamika hakutakwisha. Ukizijua haki zako hata anayekukamata hawezi kukunyanyasa kirahisi kwa sababu anapokunyanyasa anajua fika na wewe unazijua taratibu na haki zako hivyo wakati wowote kibao kinaweza kumrudia.

3. Je mnalipa ushuru na kufuata taratibu za nchi husika.

kama ni ndiyo mnatakiwa mpige simu Ubalozini mara moja kuwaeleza matatizo yanayowakabili ili uwasaidie. na kama sio hao wamalawi wanatakiwa wawarudishe Tanzania ndani ya 24hrs kama sio kuwafunguliia mashitaka ya kuishi na kufanya biashara kinyume na taratibu za nchi. yaani wahamiaji haramu.

Mkuu iko ivi unaweza kuwa umetoka tz leo ukafika boda wakakupa mwezi mmoja unafika lilongwe wanakukamata ukiwapa paspot wanakwambia twende hapo wanawapeleka gerezani je? Nisheria?
 
Acha masihara wewe unataka kusema huko Malawi maficho yao yana access nya internet?Biashara gani mnafanya au za madawa ya kulevya?

Biashara tunazofanya ni halali mkuu, sio kuwa tupo porini nimesema tupo mafichoni!
 
Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni..

3388964.jpg
3388985.jpg
3388994.jpg
3388989.jpg
 
Mkuu iko ivi unaweza kuwa umetoka tz leo ukafika boda wakakupa mwezi mmoja unafika lilongwe wanakukamata ukiwapa paspot wanakwambia twende hapo wanawapeleka gerezani je? Nisheria?

Kama ndivyo bora muende kuripoti matatizo yenu Ubalozini ili yashughulikiwe ijulikane tatizo nini.
 
Lazima watakuwa na bifu fulani..hebu tupe fununu ili tuweze kutfakari zaidi kwani haiwezekani wakatafutwa waTZ tu na kuwaacha wale wa mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom