Watanzania tunanyanyasika malawi!

Edgartz

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
241
22
Jana usiku wamekuja kutugongea majumbani wamekamata watanzania nane, Hata uwe na paspot wanakuchukua hadi saiz tupo mafichoni!
 
Tunanyafa biashara mkuu!
Kama mko huko kisheria kwanini mjifiche? Pole sana best nadhani kutakuwepo na uharifu fulani umefanyika na wanawahisi wtz. Wakiwakamata msikubali kuongea kiingereza ongeeni kiswahili tena kwa spidi itawapunguza makali. Poleni tena bora nyie mnanyanyaswa ughaibuni wenzenu wamachinga wa ilala nchini mwao kila siku wako kwenye kwata mbiombio tu!
 
kuna balozi mpya anaitwa Ptrick Tsere atawasaidia sana ni mzee maarufu sana kwa vikao vya jioni atawaunganisha tu na wamalawi
 
Hamna uharifu wowote ulitokea huwa wanaamua tu! Wakitukuta madukani wanatukamata na maduka wanayafunga week iliyopita walikuwa blantyre wamekamata watanzania wengi sana
 
Je ni watanzania tu au wageni wa nchi zote? Kama vipi wasilianeni na ofisi ya balozi huko ndo kazi zao huko ndo maana wakachaguliwa
 
Hamna uharifu wowote ulitokea huwa wanaamua tu! Wakitukuta madukani wanatukamata na maduka wanayafunga week iliyopita walikuwa blantyre wamekamata watanzania wengi sana
I see poleni sana nadhani wanahongwa na wafanyabiashara wamalawi ili wawafanyie fujo. Zogo likitulia kidogo nendeni kwa balozi wetu huko mkamweleze kama uko mbali chat na watz walioko Blantyre wakamwone. Poleni sana huku kenya kidogo ukisema ni Mtz wanarudi nyuma hawasumbui sana. Labda wakikuhisi ni Alshabab au Mungiki!
 
Mwanzo walikuwa wanawakamata waburundi saiz wanatukamata wote, kuhusu balozi sijui atakayekuja yule wa mwanzo alikuwa hana msaada wowote, mwaka juzi wamalawi walianzia utaratibu kuwa ukitaka kuongeza siku unatoa kwacha 5000 ambayo sawa na 40000 kwa chenji iliyopo bodo kwa mwezi tulijaribu kumwambia balozi wetu wala hakufikisha kwa wausika hadi leo hii tunalipi pesa!
 
Mkome nchi ya watu hiyo nyie mbona mnakuwa hivyo hizo ni sheria za kwao na sisi huku tunaumia sana Bongo na Ufisadi. Mwaka huu ni wetu watz wenye nchi waachieni watanue kwani labda mafisadi wamefika huko ndo maana wanajua watz ni mafisadi
 
poleni wandugu. mimi mwenyewe nimeshaongea na mmoja kati ya Polisi mkubwa kabisa amesema ni operation tu ya kawaida
 
Jana usiku wamekuja kutugongea majumbani wamekamata watanzania nane, Hata uwe na paspot wanakuchukua hadi saiz tupo mafichoni!
Rudini nyumbani, malawi kuna nini huko? Au ndiyo mnabeba box?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom