KAROSI
New Member
- Apr 18, 2011
- 4
- 2
Nakumbuka nimesoma historia kwamba babu zetu walipewa nguo, vioo, shanga na pombe wakatoa pembe za ndovu, dhahabu na almasi, leo hii tunapewa neti tunatoa dhahabu ivi kweli serikali yetu kupitia viwanda vyake imeshindwa kutengeneza neti na kuwapa wananchi walau kwa bei nafuu hadi tuombe kwa Bushi kama sio wizi ni nini? Ivi kweli tuendelee kuamini kua aliekua rais wa marekani awamu iliyopita alikuja Tanzania kwa lengo la kutusaidia kutokemeza malaria?