Watanzania tunaelekea wapi?

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,216
Hivi uwongozi ni bora kuliko maisha ya watu?
hivi ni kweli milipuko ya mabomu arusha yana uhusiano na dini au uwongoziiiiii?
je matendo hayo tatakwishaaaa liniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
mimi naona uzalendo umekwishatanzania na hakuna mtu mwenye mapenzina nchi bali kuna watu wana mapenzi binafsi na maslahi yao.. kwa sasa tunapoelekeahata ile amani ya uwoga itatowekaa naomba tuwe makini sanaaa. tunapokuja kuelekeaaaa ni pabaya sanaa. watanzania wengi sana huwa tunafanya masihara hasa kwenye masuala ya uchaguziii tunachagua viongozi bora kiongozi ndio maaana mambo yanaharibikaaa. hakuna haja ya kulipuana na mibomukisa uwongoza maisha ya watu ni muhimu sanaaa.. sasa unalipuaaa watuuu.. unaengeza matatizooo kwenye jamiiiii. kutakua na vilema, yatima na wajanee.litakua jukumu la nanikuwalea/ HUKO NDIO KUONGEZEKA kwa wimbi la vibaka tanzaniaaa kuanzia serikalini na mitaaani.
 
WIZI... Nani alikuambia kuwa na Malighafi back2back; Na inavyosemekana nchi iko kidemokrasia yaani Rais anatoka Madarakani baada ya Miaka 10... wapi Africa hiyo ipo? wakati yamegundulika Makubwa OIL; GAS; URANIUM; GOLD; IRON; RARE EARTH;
 
Back
Top Bottom