Watanzania tunachagua sana ndiyo maana tunakuwa maskini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunachagua sana ndiyo maana tunakuwa maskini

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Midavudavu, Feb 6, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watanzania tunachagua sana vitu vya kula na kutumia angalia wenzetu wachina milo yao inapatikana kwa kwa vitu vinavyopatikana bure au kwa gharama nafuu mfano;
  1. Nyoka huitaji kuwafuga unawatafuta tuu porini na kufanya msosi.
  2. Mijusi mingi tu porini inapatikana bure na inafaa kuwa msosi
  3. Majongoo bure tu yanapatikana kwa wingi
  4. Konokono usiseme bwerere na bure
  5. Kaa ni wengi hakuna mfano Tanzania
  6. Mbwa koko kibao Tanzania
  8. Paka usiseme wengi hadi tunawageuza watu usiku.
  9. Vyura ndiyo usiseme hadi wanatukosesha usingizi.
  Hali hii haishii hapa angalia tena;
  1. Tunatumia magari yanayotumia mafuta mengi na gharama kubwa za matengenezo wakati wachina wengi wanatumia baiskeli
  2. Tunaagiza mbolea za viwandani wakati vyoo vyetu vimejaa
  3. Tunakula apples na machungwa ya Afrika kusini wakati maembe, nanasi, machungwa, tikikiti maji zinatupwa katika masoko yetu.
   
 2. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Jf bwana!
   
 3. L

  Laptani Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndo mana sometimes nisipokatiza kabisa mitaa hii huwa na miss burdani maridhawa. Naongea na familia kama tutakubaliana kubadili utaratibu wa hz mboga za bucha tuhamie vichakani kusaka kitoweo. MKE WANGU NI MMASAI HT FISH HAJUI SIJUI MIJUSI,NYOKA..... tutaanzishanaje hz mboga!
  Thx and lts call it a day
   
 4. B

  Blackboy. Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unknown No.1

  Hi,Do u have a boyfriend?
  Girl:Yes.Who are you?

  It's your dad, be home this weekend, and we will talk!


  Unknown No.2

  Hi do you have a boyfriend?
  Girl:Not a chance,who are you anyway?

  It's your bf,sucks to know that you are not proud to be with me and be your bf:(
  Girl:Sorry babe,I thought u r my dad, he texted me a while back asking the same question

  Yes,it's me, your dad.We'll have a long talk this weekend!
   
 5. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  loading.................2%
   
Loading...