Watanzania Tuna Inferiority Complex? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Tuna Inferiority Complex?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamanzi, Feb 4, 2011.

 1. k

  kamanzi Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Asalam Aleikum waungwana wote. Nimekuja nikijiuliza sana kama watanzania tunajidharau kwa namna moja ama nyingine. Ninaposema watanzania namaanisha indigenous Tanzanians na naomba watu wasidhani naleta urangirangi. Ukifatilia historia ya Tanzania tangu awamu ya pili, nchi yetu imekuwa ikinyonywa na watu wanaojulikana na hawafwanywi kitu. Wakati wa Mwinyi, waarabu walitaka kukwapua Loliondo. Ukiangalia ni vitoto tu (toka kwenye royal families) ambavyo havina hata elimu ya kushangaza. Ukaja wakati wa watu kama marehemu Ghulamali miaka ile ya tisini. Nae alikuwa ni bwana mdogo tu. Amin Bakhresa nae anasemekana ilifikia wakati analipa mishahara wafanyakazi wa serikali enzi za Mwinyi. Mohamed Raza alikuwa na nguvu kuliko Salmin kule Zanzibar. Wakati huu wa Dr Dr Dr, Rostam Aziz akiwa kwenye early 40s amekuwa practically raisi rasmi wa Tanzania, Inasemekana pia alikuwa na uhusiano batili na mama kikongwe Meghji. Kinachoudhi zaidi ni kwamba, kijana wa miaka 35, Manji anatanua anavyotaka katika wakati huu huu wa Dr Dr Dr. Najiuliza, hivi, ni kwamba haya yanatokea kwasababu tunawaona hawea wahindi na waarabu kuwa ni superior race au vipi? Hivi ni kwanini wawe na hao tu wanaonyonya watanzania miaka nenda rudi? Mahsmba karibu yote makubwa Tanzania yanamilikiwa na waarabu au wahindi. Usije wasahau watu kama akina JEtu PAtel na yule bwana aliyekuwa na mashamba Tanga akaingiza mchele mbovu Tanzania. Hivi ni kweli kwamba hawa watu ni wabaya kiasi hiki au ni kwasababu tunanyenyekea na kuwapa chochote watakacho? JApo sipendi ufisadi, kwanini mafisadi NGULI wote sio indigenous Tanzanian? Najua wapo akina Lowasa, Chenge na wengineo lakini hawa bado ni visisimizi ukilinganisha na vitoto kama Manji. Hivi inawezekana tukawa tunaona wao wapo more deserving kuliko sie? Kama si hivyo mbona hata yale maghorofa ya upanga ya NHC wamejazana wao tu? Mbona sehemu nyeti za kibiashara wamezitawala wao? Kuna mwenye jibu jamani atupatie wavuja jasho kama sie?
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  ujinga ni we2 wenyewe kuwafagilia wageni,nchi za wenzetu mgeni ni kama kinyago.TANZANIA KWANZA.
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuna sababu kuu mbili
  1. Kihistoria Mkoloni alitawala kwa madaraja: daraja 1 mzungu, daraja 2 muasia na daraja 3 mweusi. Mzungu aliishi osyterbay, waasia upanga na mweusi uswahilini (manzese, buguruni, tandika nk). Mtu mweusi hakuruhusiwa kwenda shule bora hata akisafiri kwa treni ilibidi apande daraja la 3. Mkoloni alipokimbia aliacha misingi yote ya kiuchumi mikononi mwa wa asia (viawanda, maduka, mabenki nk). Mtu mweusi alishika serkali hakufanya chochote kurekebisha hali hiyo bali alijichomeka kwenye viatu vya mzungu mkoloni, akageuka mzungu mweusi. Ndiyo sababu hadi leo viongozi wetu hawatuheshimu wanataka tuwaite vigogo, waheshimiwa, na wanapotutembelea wanataka tuwapigie magoti. Bora wakoloni wazungu tuliwapigia magoti lakini uchumi ulikuwa mzuri, hawa weusi ni ziiii kila kitu. Wa asia wameendelea kumiliki uchumi wa nchi inaoongozwa na wakoloni weusi mbumbumbu.
  2. Hivi karibuni Itikadi za dini zimechangia kuwagawa weusi. Waasia wanautumia vizuri huu mgawanyiko kujinufaisha na kutudharau. Waasia wanapandikiza hisia potofu mfano kudai eti JKN alipendelea watu wa dini yake, nchi inafuata mfumo kristo, huu ni mda wa islam ku-take over nk. Sisi weusi tumebaki kunyoosheana vidole tu wao wanakomba nchi huku wakikingiwa kifua na islam.
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama mdau hapo juu alivyosema, nchi nyingi duniani wana metality ya mzawa/mwenyeji kwanza then ndio wageni.
  Hata hapa US ni mmarekani kwanza halafu mgeni.
  Ushahidi wa ninachokisema ukija huko nyumbani mara nyingi nimekuwa nikiona hapo Dar Airport. Foleni ya wageni ndio inaenda speed wakati wenye passport za kibongo foleni haiendi, kazi kuulizana maswali ya kipuuzi kwaajili ya njaa. Ukiingia airport yoyote US, raia na residents wana foleni yao na inaenda speed.
  Hoja ya kujiona inferior kwa wahindi, waarabu wazungu nk. tunajitakia wenyewe. Kuanzia wanasiasa wetu, serikali yetu, na sisi wenyewe pia. Tatizo lilianza wakati wa Nyerere. Mfano mswahili akienda kuomba mkopo wa kibiashara benki alikuwa hapati unless ahonge sana ama amjue mtu, lakini mhindi ama mgeni atapewa. Ni ujinga na njaa ndivyo vinavyotusumbua
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,999
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeongea vizuri lakini nadhani kuna sehemu Historia imekutupa mkono kidogo, Baada ya Uhuru hiyo hali ya Ubwana na Utwana ilifutiliwa mbali, Azimio la Arusha liliweka mali zote na njia zote za uchumi kumilikwa na Watanzania (waswahili, Wazungu, Wahindi, Waarabu) kwa usawa, na sio siri Mabenki yote na viwanda almost vyote vilikuwa ni vya Umma, Kwa hiyo hayo Matabaka unayoyazungumza hayakuwepo tena baada ya uhuru,
  Kipindi cha Mwinyi ndio yalikuwa yanaanza hasa pale lilipokuja Azimio la Zanzibar, na haya yote tunayoyaona sasa ni matunda ya hilo Azimio, japo lilionekana ni zuri kwa Baadhi ya Watu lakini halikuwa na vision ya baadae, lilikuwa na visio ya siku moja tu
  Kipindi cha Mkapa ndio ulikuwa utekelezaji hasa wa Azimio lile la Zanzibar
  Na kipindi hiki cha Jk ni Matunda sasa ya Lile Azimio
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Correction. RA ameingia kwenye siasa kabla ya Dr. Dr. Dr. kuwa rais. Kumbuka alikuwa ni mweka hazina wa CCM wakati wa Mzee wa Kiwira.
   
 7. Sabasaba

  Sabasaba Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Tatizo kubwa ni moja hakuna anaetaka kufanya kazi kila mtu amekuwa dalali wa wizi wa mali ya umma ebu check hii comments hapa

  What black Africans need to do is to create investment-friendly societies. Places where business can make money. That is all China has done. Western governments cannot force business to put money in countries they do not wish to go to. Western, largely American capital and technology has made China rich in 20years. American businessmen have done this notwithstanding China's open ambition to eclipse the US' military power. Money is not racist. In the last 25years, hundreds of millions of people in Malaysia, Taiwan, Indonesia, South Korea, Singapore, Bangladesh, Costa Rica, Chile and many others have made tremendous economic progress as a result of development assistance. China and India have re-defined themselves as new economic powerhouses. China has become rich supplying the world with a large, docile workforce. Workers earning just the very "dollar a day" used as a yardstick of poverty.
  The people who run most black African countries do not need a prosperous National economy for their own prosperity. They are neither business people nor salaried employees (in the real sense) of anybody. They are not mortgage-paying types or shareholding types to who the finer indices of the economy are of great concern. They are simple thieves who cream off large chunks of the national budget every year and share what they will with whom they choose. Sadly, they are cheered on by almost everybody. Those who disagree are too few to make a difference. Of those who appear to disagree, most of these too merely seek an opportunity to steal. They want public office. And they want it now ! Since the well-documented robbery of the past is lionised, there is naturally, a great, irresistible incentive for others to follow.
  Most black Africans are immersed in bucolic ignorance. The world is more familiar with those South Africans who believe that forced intercourse with babies will somehow cure HIV. But this is even less horrific belief than ritual murder. He has given the first official confirmation of this horror of horrors that black African societies try to sweep under the carpet. The consumption of human blood etc breeds so much insecurity and is bad for business. Manufacturing plants can not work three shifts if people are terrified of walking the streets.
  Sadly, this is exactly how the nefarious characters who muscle their way into political office want things to remain. An eerie darkness engulfs he city of Lagos at night. It is the largest concentration of black people in the world. It has precious few working street lights. Like almost everywhere in black Africa, it is the kidnapper and occult-murderers' delight. In such environments superstition and heinous crimes hold dangerous sway. This, is not good for business.
  Where chaos and ritual murder reign, all evil appetites range unchecked and backwardness is king.
  source: Exploitation, or a new opportunity for Africa? – Business 360 - CNN.com Blogs
   
 8. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  ni kweli an organized society (kama watanzania) inabidi kujua udhaifu wake na kuangalia ni jinsi gana ya ku-overcome. pamoja na makosa ya Mwalimu Nyerere, tatizo linaweza kuwa linaanzia mbali zaidi (fikiria pia resistance level ya wakati wa utumwa) na ndiyo maana katika mambo ambayo alidhani yangeweza kubadili mtazamo wa kujidharau ni kubadilisha mji mkuu wa utawala na kuwa Dodoma. Laiti nchi ingelitawaliwa kutoka Dodoma ikiwa na KATIBA INAYOELEWEKA mambo labda yangelikuwa tofauti. Pia nadhani propaganda za ukabila zimewapa advantage wageni kutukalia vibaya, laiti ungelimpata mtoa maamuzi (raisi) kama mchaga au mnyakyusa angeliweza ku-extend upenzi kwa makabila yao mpaka nchi yao (rangi na TZ/Afrika). LAKINI CHUKULIA HII KUWA NDIO MWANZO WA UKOMBOZI kwa vile hatuwezi kuendelea katika hali hii. Do something!!!!
   
 9. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Fight for mental emancipation, non but ourselves can free our minds!
   
Loading...