Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,279
- 1,295
Habari wana JF. Natumai tuwazima wa Afya na Allah awaponye wangonjwa wote.
Ama kweli leo ndo nimeamini msemo wa "Akili za kuambiwa changanya na zako"
Hivi karibuni viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Lissu waliwataka wananchi waanadame ila kwa moyo wa upendo na amani ya nchi yetu nzuri wananchi waligoma kuitikia wito wa maandamano hayo batili ya kutaka kuichafua nchi yetu.
Tujiulize leo hii ndo tungekuwa wap baada ya maandamano na kipigo kutoka kwa vyombo vya usalama, wengi wangekua Muhimbili, Lugalo, KCMC nk. Tukiwa tunaambuliwa maumivu na majeraha mbalimbali ya kipigo cha mbwa koko.
Ila huyo Lissu yeye tayari kashakimbia nchi yupo Ubelgiji Kwenda kula raha za Maisha.
Anawadanganya wananchi eti mapambano yanaendelea wakati yy anakula Bata kama kweli asingekimbia nchi basi.
Niwapongeze wananchi wote waliokaidi agizo la maandamano feki ya akina Lissu mbowe zitto na genge lao la kihuni kutaka kuwapotosha wananchi.
View attachment 1624396