Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,902
Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania.

Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa tutembee kifua mbele

Msikie mwenye akiomba na mwafrica mwenzetu akitoa comment.

hujaielewa hii scenario yaelekea alitutukana huyu mama
Hajatutukana hali ilikuwa ngumu kwa Donald TRUMP KWENYE UCHAGUZI NDIO AKAONA AOMBE MALAIKA TOKA AFRICA waende wakamsaidie Trump kushinda baada ya kuona kabanwa na mpinzani wake Joe BIDEN na malaika wa marekani wakaonekana hawampi ushirikiano Trump akaona ajaribu ku import malaika toka AFrica
 
Tanzania kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana!!!

Sasa tutembee kifua mbele kivipi wakati hao "Angels From Africa" wameshindwa kumrudisha Trump madarakani kama ambavyo alikuwa anaomba?
 
Wamarekani wanajua kuwa Africa tuna uwezo wa kumuweka hata Raisi wa Marekani madarakani ndio maana huyu mchungaji wa Trump anaomba Malaika walioko Africa Waende marekani anawajua uwezo wao wakiamua wamuweke nani uwezo wanao mkubwa kuliko malaika wa Marekani
 
Sasa mbona hao malaika wameshindwa kumrudisha madarakani?!
 
Hao Malaika wa uchaguzi kutoka Afrika ni wale malaika wa wizi wa kura?
709081.jpg
12460.jpg
098765.jpg
 
Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania.

Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa tutembee kifua mbele

Msikie mwenye akiomba na mwafrica mwenzetu akitoa comment.

Useless 🚮🚮🚮
 
Upuuzi mtupu.
 
Hajatutukana hali ilikuwa ngumu kwa Donald TRUMP KWENYE UCHAGUZI NDIO AKAONA AOMBE MALAIKA TOKA AFRICA waende wakamsaidie Trump kushinda baada ya kuona kabanwa na mpinzani wake Joe BIDEN na malaika wa marekani wakaonekana hawampi ushirikiano Trump akaona ajaribu ku import malaika toka AFrica
Kwa matokeo ya uchaguzi basi inaonekana malaika wa afrika ni fake
 
Hajatutukana hali ilikuwa ngumu kwa Donald TRUMP KWENYE UCHAGUZI NDIO AKAONA AOMBE MALAIKA TOKA AFRICA waende wakamsaidie Trump kushinda baada ya kuona kabanwa na mpinzani wake Joe BIDEN na malaika wa marekani wakaonekana hawampi ushirikiano Trump akaona ajaribu ku import malaika toka AFrica
Hao watakuwa malaika wanaoweza kuingilia system na kuiba kura
 
Tanzania kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana!!!

Sasa tutembee kifua mbele kivipi wakati hao "Angels From Africa" wameshindwa kumrudisha Trump madarakani kama ambavyo alikuwa anaomba?
Malaika wa Africa waligoma kwenda kumsaidia Trump kushinda sababu aliita nchi za Africa SHIT HOLE COUNTRIES
 
Back
Top Bottom