Watanzania tumuombee nelson mandela ( mzee madiba)

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,736
293
Africa na Dunia kwa ujumla ipo katka taharuki na unyonge uku wakimwombea Rais Mstaafu Wa Afrca Kusini na mwanaharakati wa kupambana na ubaguzi wa rangi na moja ya wapigania uhuru wa Afrika aliyepambana bega kwa bega na kna J.K.Nyerere, Kwame Nkurumah na wengneo kutafta uhuru wa mataifa mbalimbali ya Africa yupo hospitali nchini Africa ya kusini tunamuombea apone kwa amani na watanzania tumuombee Mzee wetu wa heshma mtu wa watu MADIBA...BABA MADIBA MUNGU AKUPE AFYA NJEMA.... WE LOV U
 
Wewe unaumwa nini ? Unashindwa kuiombea nchi yako Tanzania ambayo inakufa na tutaizika karibuni unataka tumwombee Mzee Madiba. Acha porojo zako mwache akombewe na wasauzi wake,
Watanzania kwa kimbelembele, kwenu kunaungua wewe unahangaika na nyumba ya jirani ! OVYOOOOOOO NYOOOO !
 
africa na dunia kwa ujumla ipo katka taharuki na unyonge uku wakimwombea rais mstaafu wa afrca kusini na mwanaharakati wa kupambana na ubaguzi wa rangi na moja ya wapigania uhuru wa afrika aliyepambana bega kwa bega na kna j.k.nyerere, kwame nkurumah na wengneo kutafta uhuru wa mataifa mbalimbali ya africa yupo hospitali nchini africa ya kusini tunamuombea apone kwa amani na watanzania tumuombee mzee wetu wa heshma mtu wa watu madiba...baba madiba mungu akupe afya njema.... We lov u

nakupenda sana mandela nakupenda sana madiba mungu yupo nawe utapona madiba
 
Wewe unaumwa nini ? Unashindwa kuiombea nchi yako Tanzania ambayo inakufa na tutaizika karibuni unataka tumwombee Mzee Madiba. Acha porojo zako mwache akombewe na wasauzi wake,
Watanzania kwa kimbelembele, kwenu kunaungua wewe unahangaika na nyumba ya jirani ! OVYOOOOOOO NYOOOO !

mmmmMMMh
 
wewe unaumwa nini ? Unashindwa kuiombea nchi yako tanzania ambayo inakufa na tutaizika karibuni unataka tumwombee mzee madiba. Acha porojo zako mwache akombewe na wasauzi wake,
watanzania kwa kimbelembele, kwenu kunaungua wewe unahangaika na nyumba ya jirani ! Ovyooooooo nyoooo !
si kosa lako ndio mwisho wa akili zako...unatakiwa ukapimwe kichaa id yako inafanana na mawazo yako....lets pray madiba apone ni baba wa afrca
 
Wewe unaumwa nini ? Unashindwa kuiombea nchi yako Tanzania ambayo inakufa na tutaizika karibuni unataka tumwombee Mzee Madiba. Acha porojo zako mwache akombewe na wasauzi wake,
Watanzania kwa kimbelembele, kwenu kunaungua wewe unahangaika na nyumba ya jirani ! OVYOOOOOOO NYOOOO !

AMein,
 
twendeni mbele turud nyuma, hv ni lini itafika watu waseme sasa imetosha, mzee akapumzike?? mim nadhan kama ni mapenzi ya Mungu basi ampumzishe mzee Mandela sasa. Tumshukuru Mungu kwa kutupa neema ya kuwa na mtu kama huyu kwa zaid ya miaka 90 hapa duniani. Mapenzi yako na yatimie ee Mungu mwenye enzi yote. Amen.
 
Wakati nikimuomba mwenyezi Mungu ampunguzie maumivu akisubiri kifo chake any time soon, kuna kasumba tumepandikizwa na wazungu. Wanamkweza mno Mandela - kwa sababu aliwasamehe na kuwabakizia utajiri weupe. Ana mchango mdogo sana kwa afrika. Bali nakubali wa kipekee kwa afrika kusini. Huyu kwa historia na mchango kwa bara la afrika si saizi ya kina Nyerere, Nkurumah, kaunda nk. Hawa ni mababa wa africa - kwa michango yao ya hali na mali. Oh! Hamfikii hata Mugabe!
 
huyu mungu anakazi sana! sasa mzee wa watu kashafika umri huo bado mnamwombea aendelee kuwa hai badala ya kumwombea apumzike!
halaf ww unamwombea kwani huyo mungu hamwoni?
Mandela is a great man indeed! lakini these unrealistic pleadings here are pathetic!
 
Back
Top Bottom