Watanzania tumtumieni Rais Magufuli vizuri, Akiondoka tutamkumbuka sana

Weka ushahidi, mmekalia majungu tu.

Ushahidi ni: Tangu TL APIGWE RISASI VIUNGA VYA BUNGE HUKO DOM HAKUNA YEYOTE ALIYEKAMATWA KIHUSIANA NA JARIBIO HILO LA MAUAJI. Lakini pia kuna kitu Wanasheria huita CIRCUMSTANCIAL EVIDENCE yaanu ushahidi wa KIMAZINGIRA WAKTI WA TUKIO ambao unsmtia hatiani mtuhumiwa… in this respect the Government itself……Upo??
 
Ushahidi ni: Tangu TL APIGWE RISASI VIUNGA VYA BUNGE HUKO DOM HAKUNA YEYOTE ALIYEKAMATWA KIHUSIANA NA JARIBIO HILO LA MAUAJI. Lakini pia kuna kitu Wanasheria huita CIRCUMSTANCIAL EVIDENCE yaanu ushahidi wa KIMAZINGIRA WAKTI WA TUKIO ambao unsmtia hatiani mtuhumiwa… in this respect the Government itself……Upo??

Pumba.
 
Dhulma ipi wewe ni Lijizi tu huna lolote
Watanzania waipendayo nchi hii lazima wamkumbuke Rais Magufuli
Rais wa ovyo haijapata kutokea..

Juzi anasema anajua lazima World Bank watatoa mkopo na sababu anazijua..

Baada ya muda kidogo WB wanatoa taarifa mkopo umesitishwa tena..ivi kulikuwa na ulazima wa yeye kuongea vile..??,

Madhara ya kuongozwa na kichaa makubwa sana aisee.
 
Dhulma ipi wewe ni Lijizi tu huna lolote
Watanzania waipendayo nchi hii lazima wamkumbuke Rais Magufuli
UTAMKUMBUKA WEWE,MKEO NA WATOTO WAKO. USIPENDE KUJUMUISHA KILA MTU MAANA SIO WOTE WANAOMPENDA HUYO MAGUFURI WAKO.
 
Ningependa afanye maboresho ya katiba.
Tuwe na katiba bora itakayoruhusu watanzania kumuwajibisha yeyote anayehujumu mali za watanzania na asiyeheshimu maamuzi ya watanzania au kuvuruga uchaguzi kwa maslahi ya chama chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona watu wanapewa increments za performance na kupandishwa madaraja kama kawaida?Ambacho ameondoa ni ilie ya kupandiha kima cha chini cha mshahara ambayo ilikuwa inasukuma sana inflation.Kama kuna uongo kwenye hili naomba mfanyakazi yeyote wa serikali aseme hapa kama watu hawapandishiwi mishahara kwa kutumia madaraja na utendaji kazi.
Haikuwa ahadi yake ya kuondoa annual increament kwa lugha nyingine ni kweli aliwalaghai watumishi wakati wa kampeni zake na hata baada ya kutaka kuwaondoa watumishi feki ndipo atimize ahadi yake lakini bado hakufanya.
Katika eneo ambalo Rais hajafanya vizuri ni kwa watumishi na Sector ya ukweli takwimu nyingi anazotoa hazina uhalisia anafanya hivyo ili asifiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kupoteza makazi kunatia Presha ila watu walifuata barabara kulikuwa hakuna namna zaidi ya kuwatoa wapishe maendeleo.Kama wanahisi hawakutendewa haki wanaweza kufungua kesi mahakamni kudai haki yao.Au hamkupenda barabara itengenezwe ipendeze?
Kuna watu walikimbilia mahakamani,wakafungua kesi kabla ya zoezi la bomoa bomoa,na mahakama ikatoa zuio la kubomoa nyumba hizo mpaka mashauri ya msingi yatakapokamilika

Siku bomoa boa wamekwenda kuanza kazi,wakaonyeshwa hizo sijui "stop order" za mahakama lakini jamaa wakaambiwa wasisikilize yeyote (hakuna Cha stop order wala nini) nyumba zikaangushwa.

Hakuna jambo baya kama kutotii sheria na mahakama zetu tulizojiwekea,kwa mfano kama sheria zinataka manunuzi yote makubwa yatengewe bajeti na bunge,halafu tukazoea kwamba Kuna mtu anaweza kufanya manunuzi makubwa bila kufuata sheria kwa "nia njema"

Au mtu anaweza asifuate sheria na kuwavunjia nyumba watu wenye hati za kuzuia uvunjwaji wa nyumba zao kutoka mahakamani,kwa kisingizio kwamba wanachelewesha maendeleo, hakika tunachochochea ni "civil disobedience" ambayo ikifiwa tu,taifa linakosa uhai kabisa,na yooote mazuri tuliyofanya yanakuwa sawa sawa na bure.

Tuheshimu sana utawala wa sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu swala la Tundu Lisu bado halijathibitika kwa hakika ni nani waliohusika.Binafsi nafikiri inawezekana kabisa waliofanya hivyo walitaka ionekane kwamba ni serikali ilifanya tukio hilo.Kulikuwa na njia nyingi za kumnyamazisha bila kutumia nguvu kubwa ila kwa sababu lengo lilikuwa kuleta taharuki waliamua kutumia mbinu hio chafu.Ni namna moja ya kulitazama hilo
Ingekuwa hawakuhusika
Wasingesita kukubaliana na kualikwa wachunguzi huru. Palikuwa na hofu gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchunguzi huru wa kuchunguza nini?Unafikiri polisi hawajafanya uchunguzi?Tatizo hawajafanya arrests kwa sababu hakukuwa na taarifa za kuwawezesha kuanza uchunguzi zaidi ya hisia tu kwamba ni serikali.Iwapo Lisu atarejea nchini naamni kabisa kwamba atatoa mwanga wa yaliyojiri siku ya tukio na wahusika watatiwa nguvuni
Hapa Umejibu kama mshenzi.
Small mind should not distract peoples direction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kupoteza makazi kunatia Presha ila watu walifuata barabara kulikuwa hakuna namna zaidi ya kuwatoa wapishe maendeleo.Kama wanahisi hawakutendewa haki wanaweza kufungua kesi mahakamni kudai haki yao.Au hamkupenda barabara itengenezwe ipendeze?
Watu wa mwanza waliofutaa barabara alisema wasivunjiwe nyumba zao kwasababu walimpa kura nyingi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom