Watanzania tumesahau tatizo la mgao wa umeme au?

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,221
Jamani, mimi naona hili tatizo limekuwa sugu mpaka tumezoea maumivu. Sijaona efforts zozote kukabiliana na hili tatizo.
 
Kama maji ya bomba, ni msamiati kwa watanzania wengi.
 
duh, mi naona kimya tu. Kipindi wanataka bajeti ipite waliachia umeme wa kumwaga. Sasa hivi ukizungumzia kuhusu mgao wa umeme kwenye daladala, watu wanakushangaa, tena wanakuona wa ajabu kweli.
 
Naona walikuwa bize na mauchaguzi ndilo lilikuwa lao jambo kichwani kushinda matatizo walonayo wananchi.
 
Sasa utafanyaje mzee. Ukiishi sana wodini pua zinazoea harufu ya dawa!
 
Kwa nchi zilizoendelea Ngeleja angeshatakiwa kujiuzulu. Waziri kutoa kauli ambazo hazina ukweli wwte ni dhihaka kwa wananchi.
 
Tangu j,mosi mtaani kwetu umeme haujakatika nilifikiri mgao umeisha.
 
duh, mi naona kimya tu. Kipindi wanataka bajeti ipite waliachia umeme wa kumwaga. Sasa hivi ukizungumzia kuhusu mgao wa umeme kwenye daladala, watu wanakushangaa, tena wanakuona wa ajabu kweli.

Waambie wazee wa visgino waandamane.
 
Back
Top Bottom