Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Njaa Ukame vipo tunadanganywa hakuna ukame hakuna njaa wenye njaa wanapiga makofi
Kamanda labda sema umerogwa wewe. Na si vinginevyo.suala lako binafsi kama kwako kuna njaa huku kwetu mazao hayana wanunuzi. Kwa nini msije kununua huku kama mmeishiwaNjaa Ukame vipo tunadanganywa hakuna ukame hakuna njaa wenye njaa wanapiga makofi
tuambie huko ni wapi tuje tununue hicho chakulaKamanda labda sema umerogwa wewe. Na si vinginevyo.suala lako binafsi kama kwako kuna njaa huku kwetu mazao hayana wanunuzi. Kwa nini msije kununua huku kama mmeishiwa