Watanzania tumechoka na amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tumechoka na amani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zhu, Jan 13, 2011.

 1. Z

  Zhu Senior Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hali iliyopo sasa inaonakana watanzania tunatamani sana kuona vita. Kwa kilichotokea Arusha ni ishara wazi kabisa kuwa nchi inakoelekea si kwema. Na hisi kuwa hali hii inatokea kwa kuwa nchi yetu sasa imejaa dharau, hakuna kufuata tena sheria za nchi, wanasiasa kukebei vyombo vya dola, hakuna kiongozi mwenye kauli ya kitaifa. Kila kitu kiko shagalabagala. Vyama na wanasiasa na vyombo vya habari wametake advantage kwa mapungufu au udhaifu wa viongozi wa kutokuwa na kauli katika mambo ya kitaifa kwa manufaa ya umma. We make things as jokes like Nguvu ya umma. What is nguvu ya umma pasipo sheria. Tanzania we are lost. Tunisia leo 50 wameuawa kwa kukaidi amri ya polisi. Leo polisi waseme wananchi fanyeni mnachotaka si hatupo tena. Maana yake nini, majambazi watakuwa huru sana, kila uovu utafanyika and then tutaanza polisi wako wapi. Nguvu ya umma keep it up but the result will be again mateso ya nguvu ya umma.
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  kudadadeki...big Crap
   
 3. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Explosive diarrohea a.k.a Mlipuko wa Uharo!!
   
 4. Z

  Zhu Senior Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is crap today but 2morow will be a clap.
   
 5. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Post ya "kichina" kama jina lako. Endelea kuandika unyooshe hizi pumba na ujaribu kueleza zaidi amani maana yake nini?, kuchoka na amani kunamaanisha nini na mwisho (kwa mawazo yako) wananchi tufanye nini?
  CRAAAAAAP
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280

  and a slap in future
   
 7. Z

  Zhu Senior Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  When your neighbour dies then you will say it is pumba. Wait!
   
 8. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  We zhuzhu ni mchawi
   
 9. Z

  Zhu Senior Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubali mi mchawi. Lakini ukiona watu wanafurahi pale nchi inapoteteleka be sure that the war is coming so soon.
   
 10. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Yawezekana akaonekana mtu mawazo yake ni tofauti na wengine, vema basi akaheshimiwa kwa dogo hilo. Je mnadhani wote tutakuwa na akili za aina moja?
  NI WATU WASIO NA AKILI PEKEE NDIO WASIOPINGANA.

  Zhu amesema kweli. IKIWA TUMEICHOKA AMANI basi na TUJARIBU GHASIA. Mifano ipo na itaendelea kuwepo. Sote ni Watanzania na tujiulize je tujenge UTAMADUNI UPI KWA TANZANIA YETU. (hapa ndio kilio cha katiba kilipo) VINGINEVYO TUTAENDELEA KUCHEZA MNANDA!
   
 11. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  the war between you and your wife
   
 12. k

  kiche JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tatizo hapa si polisi wala cdm,system ya nchi yote kuna ulakini,jaribu kuona mawaziri wa serikali ile ile (siyo ya mseto) wanaongea tofauti kwa kitu kile kile,ni ajabu.

  binafsi kwa serikali zilizopita sijawai kushuhudia kitu kama hiki!tatizo ni nini hapa?kwa mawazo yangu waziri mkuu ameshindwa kudhibiti serikali na inaenda mzobe mzobe,Lowasa alitamka kuwa tutamkumbuka ni kweli yanatimia.
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Mbona aujasema huko TUNISIA polisi na waziri wao kimewakuta nini?
  Na kwanini kiwakute kilichowakuta?
   
 14. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kumbe unajua kama viongozi walioko madarakani ni dhaifu!!! Kinachokufanya ulalamikie vyama vya siasa nini???? Sababu ya yote hayo umeshaitaja "viongozi dhaifu" na hiyo ni kweli Serikali iliyoko madarakani ni dhaifu zaidi ya mno!!! Eti majambazi yatakua huru!!! Yawe huru mara ngapi????!!! Mafisadi yanapora rasilimali zetu kwa kasi ya ajabu!!!! na hayafanywi chochote!!!! Ewe binaadamu... kama huna cha kuandika bwana kaa kimya. Si dhambi kukaa kimya!!! Wala hakuna mtu atakae kudai!!! Upupu kama huo wa kwako unaweza ukakugharimu squarely!! Dimwit!!!
   
 15. Z

  Zhu Senior Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udhaifu wa viongozi ndio unaofanya watu wafanye yote haya. Najui Jf wengi wanachukia sana mtu akiwa to the law and truth. Unatukana sasa, maamuzi ya hasira kwa serikali, i am sure yatatugharimu sana.
   
 16. c

  cray Senior Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo tukae kimya kwa yote haya. Huko Mbarali nako wameua watatu, Kwasababu hawataki wauze mpunga wao, inamaana wakae kimya waendelee na umaskini wao. Kwahiyo amri halali ni kuua? Hivyo ndo katiba inavyosema. Acha ujinga. Hatuwezi kaa kimya kwasababu eti tukidai haki tunahatarisha amani ya nchi hii. Ina maana EPA,RICHMOND,DOWANS, MAUJI ARUSHA NA MBARALI. Ni amri halali ya JK na katiba inasema hivyo. Katiba inasema ni haki watu kuandamana nakama njia ya kujieleza, amri halali inasema usiandamane. Hivi wewe unatufanya sisi mazuzu. Acha za kijinga hizo bana. Umetumwa wewe.
   
 17. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  This statement is not only ridiculous and stupid, it is obscene and can only come from one with a filthy mind. How can one, with a sound mind, allege or even think that there is anybody anywhere in Tanzania who hasn't lost a neighbour. Didnt Ismail Omar have a neighbour ? Didnt Dennis Shirima have a neighbour ? Who in Tanzania doent have neighbours who were felled down by bullets fired by the very forces that were meant to protect them ? Who in Tanzania doesnt have a neighbour who died giving birth to a future citizen for lack of medical attention and medicine ? I could go on and on - but there will always be sycophants the type of Zhu who whenever they open up their mouths, only tons of shitloads are spilled out.

  At first they started with batons and in spite of split heads and blood they could not silence our voices. And then they brought in smoke bombs and even with tears and red eyes they couldnt block our vision. Next they brought in truck loads of chemical fluids but even with itching and burning skins we moved on. Now in their desperation and as time runs out for them they are trying to stop us in our tracks by guns and live bullets oblivious to the fact they are signing their own death warrants, poor Kikwete and his henchmen in CCM ! Trying to stop the wind of change is like trying to block a tsunami ! CCM tried in 1992 but it seems like always, they never learned anything because they are incapable of learning - they are too busy enriching themselves by robing the poor wananchi.
   
 18. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mi nafikiri hizi ni dalili za ulegevu wa uongozi wa juu wa taifa letu naamini tungekuwa na viongozi makini na wawjibikaji tusingefika hapa. huo tunsia, waziri wa mambo ya ndani tayari kawajibishwa hapa kwetu kila mhusika analaumu chadema na hakuna nayewajibia wala kuwajibishwa. sasa heshima kwa vyombo vya dola na viongozi wa aina hiyo itatoka wapi? ukigeukia ufisadi na mafisadi wasiochukuliwa hatua hata wanaofahamka waziwazi huku wikileaks wakitoboa siri kuwa kiongozi wa kitaifa ndiye anayezuia wasishtakiwe na wakati huohuo akichekelea viongozi wa chadema wakishtatikiwa kwa makosa ya uongo, hap heshima itapatikanaje? mi nafikiri wanasiasa na polisi na vyombo vya dola kwa ujumla wao wakitimiza vizuri waajibu wao kwa wananchi hayo unayohofia hayatakuwepo
   
 19. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Unaibiwa mabilioni unachekelea na unaona hamna kinachokugharimu.. Watu wakiandamana ndio unaona amani inapotea. Binadamu wote wangekuwa mabwege kama wewe usingezaliwa.
   
 20. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu Zhu, sina hakika kama upo Tanzania na unaona hali inavyoendelea. Sasa hivi kuna majambazi Tanzania, tena wako kwenye nyadhifa za juu. Kuna wabunge na hata serikali, polisi wako wapi? Sijui kama ulisikia jamaa waliouawa na polisi sinza, waliuawa na polisi. Polisi wako wapi? Sijui kama umesikia kuwa siku hizi ukiwa na hela unagonga watu na kuua unalipa faini tu. Sijui kama unakumbuka Dito aliua kwa kukusudia, sheria ikapindishwa akawa huru. Wenye ndugu mpaka leo hakuna haki kwao.

  Ule ujinga wa kusema Tanzania tuna amani, halafu wachache wanaendelea kuvuna mabilioni waliowengi wanasifwa kuwa wana amani na umasikini umewachosha watu. Kauli ya kuwadhihaki wazalendo watanzania kwa kisingizio cha kusema wanavuruga amani hakikubaliki tena.

  Umetaja mengi kuwa hakuna uongozi imara wa kitaifa (Kweli) ndio maana unasikia kauli toka serikalini zinakinzana, hakuna haki ndio maana watu wanadai aki kwa nguvu, pia umesema Tanzania inakwenda ovyo, ndio maana watu wanakasirika hawajazoea nchi yao kuenda ovyo.

  Tukichapana bakora nadhani tutaheshimiana na tutaacha kufanyana wapuuzi na wajinga, ndipo nchi yetu itaenda sawa. TAnzania ndio mama, yoyote anayeipigania Tanzania awe CCM, Chadema au asiye na Chama huyo ndio mtanzania. Anayefanya kinyume ni tapeli na fisadi.

  Kilichotokea Tunisia, kinaweza kutokea Tanzania. Tunisia mtu amemaliza chuo Kikuu hana ajira. Anauza mboga anaamabia anavunja sheria, so what did they want him to do. Akaibe? Amejichoma moto kuprotest na kufa. Wengine waliadamana wanapinga hali ya kupuuzwa na hali ya umaskini. Ni halali watu kufa kwa kudai haki za watoto wao.
   
Loading...