LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Tena akasema ni msomi na mchapa kazi. Wapinzani wamezowea kuongea hovyo. Leo imekuwaje??Hayai hayai yamekuwa.Wakati wa uundwaji wa Baraza la Mawaziri awamu ya tano watanzania tulisema Prof.Muhongo Hafai lakini wanaccm walisema nib" Jembe" Leo tumeona yametimia.