Watanzania tulisema Prof. Muhongo hafai CCM wakasema ni "JEMBE"

Hayai hayai yamekuwa.Wakati wa uundwaji wa Baraza la Mawaziri awamu ya tano watanzania tulisema Prof.Muhongo Hafai lakini wanaccm walisema nib" Jembe" Leo tumeona yametimia.
Tena akasema ni msomi na mchapa kazi. Wapinzani wamezowea kuongea hovyo. Leo imekuwaje??
 
Back
Top Bottom