Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Hayai hayai yamekuwa.Wakati wa uundwaji wa Baraza la Mawaziri awamu ya tano watanzania tulisema Prof.Muhongo Hafai lakini wanaccm walisema nib" Jembe" Leo tumeona yametimia.
...Na hapo ndipo hasaaa panapolengwa! Tishubiii tione...Haya mambo yalianza miaka 19 iliyopita. Je Muhongo alikuwepo? Ukifuatilia nyuma zaidi lazima JK naye akamatwe
Hayai hayai yamekuwa.Wakati wa uundwaji wa Baraza la Mawaziri awamu ya tano watanzania tulisema Prof.Muhongo Hafai lakini wanaccm walisema nib" Jembe" Leo tumeona yametimia.
Watanzania wapi walisema hafai? Ni mbunge wa kucjaguliwa tena aliwagaragaza vibaya sana ukawa hawana hamu na hilo jimbo!Hayai hayai yamekuwa.Wakati wa uundwaji wa Baraza la Mawaziri awamu ya tano watanzania tulisema Prof.Muhongo Hafai lakini wanaccm walisema nib" Jembe" Leo tumeona yametimia.
Ukiwa huko jikoni lazima ulenge kumfurahisha mkulu.....wote waliojaribu kwenda kinyume naye wamepotezwa.......TUTACHAKACHULIWA SN REPORTS ILI TU RAIS DIKTETA NA MPENDA UJIKO BINAFSI AFURAHIKuna shida hiyo report huwezi kupata tani 21 za dhahabu kwa makontena 272
Kwenye area ipi?Ila pro muhongo yupo vizur zaid ya mwakyembe