Watanzania tulete demokrasia ya ivory coast tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tulete demokrasia ya ivory coast tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Dec 29, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tumesubiri Mpaka Tumechoka na Bado CCM Wanatudharau na Kututemea Mate Usoni. Hili Tunalisema Kwa Sababu Ushahidi Unaonekana Wazi kwa Wananchi. Kama Wengi Tumesikia Jaji Fake Mteule Warewa Anasema Serikali Italipa Dowans Bila Kukata Rufaa. Soma Maneno ya Huyu Fake Jaji

  Awali baada ya uamuzi huo kufikiwa, Tanesco ilionyesha nia kwamba ingechukua hatua za kukata rufaa, lakini Jaji Werema aliliambia Mwananchi jana katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam kuwa hakuna haja ya suala hilo kukatiwa rufaa, hivyo kuyeyusha ndoto hizo za Tanesco.

  Hapa Tunaona Watanzania Tunatakiwa Tumlipe Dowans Ambao Kutokana na Document Tutaziona ni Rostam Aziz na Lowasa. Hii ni Dharau Tupu.

  Hili Sio Jambo Peke Yake Linawatesa Watanzania, Swala Jingine Kubwa ni Wizi Kwenye Huu Uchaguzi wa Mwaka Huu. CCM Imewadharau Wananchi Tena Kuwaibia Kura Alizoshinda Dr Slaa Aliepata Asilimia 64%. Wameunda Tume Yao ya Uchaguzi na Kutangaza Matokeo Yao Wenyewe. Tangu Lini Mgombea Anatengeneza Tume Yake na Kutaka Haki kwa Mwenzie? Alie Wapa Madaraka ya Ujehuri Hivi ni Nani? Swala Lingine ni Wizi Migodini na na Bank Kuu. CCM na Mafisadi Wao Wamejulikana Pesa Kuibia Ndani na Hakuna Hatua Yeyote Ile Kuchukuliwa, Bilal Akiwa Mfano na Mpaka Leo Wananchi Wamenyimwa Haki ya Kujua Nani Alishiriki. Mkapa Aliondoka na Pesa Nyingi za Watanzania na JK Anakataa Kumpeleka Mkapa na Mkewe Grace Mahakama ya Watanzania. Vitu ni Vingi na Watanzania Tutaungana na Wananchi wa Ivory Coast Kurudisha Nchi Yetu Mikononi Mwetu Kutoka kwa Wakina Mugabe Like or Gbagbo Like-JK. Hii Ndio Solution, Maswala ya Kukaa Kimya na Kuitwa Kisiwa cha Upole Kimekwisha.

  "Kukaa Kimya na Kutojiunga na Mapinduzi ni Kuumiza Wananchi Wenzako. Hakuna Binadamu Anaitwa Anaamani na Utilivu Wakati Anakufa na Njaa na Umaskini"
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  our approach should be ya kitanzania na si ya ivory coast... wameshatawaliwa kijeshi tusisahau
   
 3. papason

  papason JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Wameisha tandikana tandikana kidogo
   
Loading...