Elections 2010 Watanzania tukubali matokeo

baseka

New Member
Nov 1, 2010
2
20
Ndugu wana jamii

Ninaomba kuwaasa watanzania tuombe wagombea wote wakubali matokeo. Nimeshawishika kwamba matokeo ni sahihi kabisa kwa sababu wametoa matokeo jimbo kwa jimbo na taarifa zote hizi zinapatika wazi wazi kweny mtandao wa tume ya uchaguzi.

Kwa mwenye data tofauti na zilizotolewa alete

visit: The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
 

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
380
250
wewe ni mtu wa KUSHAWISHIKA na kila taarifa inayokuja mbele yako hata bila utafiti wala uchanganuzi? inawezekana mtu akakuletea taarifa ya kuwa ameona nyoka mwenye miguu nawe utakubali kisa? kaja na picha ya jongoo. amka, ningejua jinsia au umri wako ningeweza kuandika kwa ufasaha zaidi...tafakari hayo tu niliyokwambia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom