Watanzania tukizubaa kizazi cha mafisadi kitachukua nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tukizubaa kizazi cha mafisadi kitachukua nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Mar 22, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF
  Napenda kutoa angalizo kwa Watanzania kuwa tusipokuwa makini watoto wa Viongozi wa sasa watalipeleka Taifa hili kuzimu. Imekuwa nia nitabia sasa kwa watoto wa viongozi wasasa kujiingiza kwa kasi kwenye masuala ya uongozi wa kiasa na kuacha uongozi wa kitalamu kutokana na nguvu za wazazi wao za kifedha na kimadaraka. Hatua hii naiona ni hatari kwa taifa letu la baadaye kwani wengi wao wamerithishwa tabia za kifisadi. Sikatai kuwa hawana haki lakini kwa kutumia influence ya wazazi wao italikosesha taifa viongozi wazuri pengine kuliko wao angaloa waingie sehemu hizo kwa kunyesha uwezo si majina ya wazazi wao kama ilivyosasa Mkuu wa mkoa anamwogopa hata mtoto wa Rais. Nawasa Watz tuwe makini na vifisadi vidogo.
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,545
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Usikonde mkuu hawa mbona dawa yao iko jikoni !!!
   
Loading...