Watanzania tukatae kulea mafisadi, tubadilike

Jan 16, 2018
54
35
Amani iwe nanyi, ndugu zangu naandika nikiwa na huzuni nikijiuliza tuaenda wapi. Tukiongelea swala la ufisadi bila kuangalia chama utaona kuwa ufisadi ni mfumo wa wizi wa kodi za watanzania na muaasisi wa mfumo huu ni ccm.

Ccm karibu wote ni mafisadi kwa kuwa hakuna wa kumfunga paka jengele. Kwa mfano ufisadi wa epa, tegeta escrow, dowans, ARV feki, kununua viongozi wa upinzani na kuitisha uchaguzi wa kijinga ni ufisadi wa kutisha.

Kumbukeni ndugu zangu watanzania kuwa pesa za kugharamia uchaguzi wa marudio ni kodi zetu. Ilipaswa tuwashitaki waliojiuzulu na kugombea tena kwa kulisababishia taifa hasara ya mabilioni.

Mwisho nawasihi wapiga kura wa kinondoni na siha kuwaadhibu ccm kwa njia democrasia maana hakuna njia nyingine.

Mungu tufumbue macho watanzania wote cku moja tuongee lugha moja.
 
Chama cha wahuni na mafisadi ndiyo chanzo cha hili tatizo kubwa nchini.
 
Chama cha wahuni na mafisadi ndiyo chanzo cha hili tatizo kubwa nchini.
Mkuu nilichogundua kwa ccm kuna wezi aina mbili, mwezi malaika na mwizi shetani ndo maana tunakataswa kuwataja hata kuandika jina la mwizi malaika. Ndo tulipofika serikali ya awamu ya5 haina nia ya dhati ya kupambana na ufisadi wanaleana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom