Watanzania tujulishwe shughuli zote anazozifanya Rais Samia huko Marekani

Talk sense to a fool and he will call you foolish Assumption yangu kwako haikuwa na makosa .You are just a fool .
 
Hakuna rais duniani anaefanya vizuri kwa raia wake wote, lazima atasemwa tu
Hatukatai akisemwa lakini njoo na hoja mbadala sio kukosoa tu.Jaribuni kuleta solution kwa maendeleo ya Nchi.Nchi hii ni ya wote.
Msiwe problem identifier bali kuweni problem solver.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom