Watanzania tujivunie amani tuliyonao chini ya Serikali ya CCM

Nchi ya amani bando za mawasiliano za moto hivyo?
Sasa hivi mawasiliano ni anasa chini ya serikali ya CCM
Tunakoelekea. Ukiona mtu yupo YouTube anaangalia video, unashangaa.
 
Ni kweli kabisa. Inabidi waweke 1GB inunuliwe kwa 10,000 ili watu wasipige kelele na nchi iwe na amani.
Ukiona watawala wameweza kukuthibiti USIPIGE KELELE wala KUSUMBUA tambua kabisa hao watawala ni bora sana

JIPIGE KIFUA USEME MUNGU IBARIKI TANZANIA😍🇹🇿👊👍

😂😂😂😂
 
Kwakweli!
Kwa mwenye akili angeisafisha mbeleko badala ya kuichana au kuitupa maana hakuna ujinga unaozidi ule wa kuchana mbeleko iliyokubeba eti sababu tuu ni chafu ilhali huwezi kutembea wala kukaa peke yako.

Tanzania ni baba na mama tuwe wa kuisaidia zaidi ya kuharibu huku tukijua ukweli kwamba hata kama hatuishi humo kwa sasa humohumo wanaishi ndugu na jamaa zetu


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom