Watanzania tujihadhari na matapeli wa siasa wa mtandaoni

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Habari wanaJf,

Najaribu kuwaza kwa upande tofauti na idadi kubwa ya watu namna wanasiasa wanaweza kuwafunga akili na mdomo bila nyie kujua mfano.

Ningekuwa mwanasiasa, kwakuwa nimeshajua maisha ya wengi ni ya mitandaoni na udaku, ningetengeneza account fake mtandaoni na kujitukana na kujikosoa halafu kesho hadharani kwa account zangu na media najibu zile hoja.

Hapa nitakuwa nimewafunga akili msiwaze hoja na kuhoji zaidi ya kupaste vile vya account yangu fake mtandaoni na hamtozungumzia zaidi ya mawazo yangu ya ukosoaji nliyojitupia.

FUNDISHO

Wengi tunarepost na kujadili kauli za watu mitandaoni bila hata wengine kuwajua ni kina nani, hii ni upungufu wa akili kwani wanasiasa wanaweza kutuchezea akili zetu kwa style hio hapo juu.

Ukifuatilia sasa, mtu akiamka asubuhi cha kwanza sio awaze maisha yake anawaza fulani mtandaoni kapost nini ascreenshort arushe au akajadili kijiweni, bila kujua anayekosolewa anaweza kuwa ndio mkosoaji.

AMKENI AMKENI NI MTAZAMO TU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesema kweli kabisa.yani kuna watu wakiamka tu hata chai awajanywa wanaulizana kigogo au da mange ana mpya gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mimi kabla sijalala lazima nipite huko kwa kigogo na nikiamka asubuhi naanzia pale nilipoishia.
Sametime huwa nahuzika nachelewa nakuta baadhi ya tweets zimefutwa...
 
mkuu mtu akiwa mjinga bahati mbaya tunamsikitikia,akiamua kuwa mjinga anaitwa mpumbavu.na anatakiwa kusimangwa asiachwe hata kidogo.

nyumbu niliwatoa kwenye list ya watu wenye akili baada ya kuanza kuicheza ngoma ya lowassa 2015,nikajua kumbe tatizo sio ccm.
 
Back
Top Bottom