Inatia aibu na kusikitisha pale watanzania hasa vijana waliozaliwa tangu enzi za Mwinyi na Mkapa pale wanaposhindwa kuwa na adabu.
Inaonyesha ukosefu wa maadili na uzalendo pale unaposhuhudia ama kusikia hawa vijana jinsi wanavyoongea au jinsi wanavyo react kwenye mada nyingi humu JF.
Kumdharau Rais wetu JK pindi anapohudhuria dhifa ama tafrija nje na ndani ya nchi inasikitisha sana.
Ndugu JKikwete anatambulika na kuheshimika duniani, inakuwaje sisi watanzania tunashindwa kutambua hata mchango wake japo hata kama ni mdogo katika maisha ya Watanzania/
Wenzetu nje wanatu judge kwa kauli zetu na matendo yetu. Kwanza waropokaji wengi ni watoto wa mafisadi ambao wameneemeka kupitia mgongo wa serikali.
Tujiheshimu jamani, tumjaji Kikwete kwa hoja, kama ni critical analysis ya utendaji wake, ama personal life, basi iwe ni kwa FACTS na FIGURES.
Tumekuwa wachache wa shukrani kama watu waliolelewa maporini. Mnamsema sema Kagame lakini sisi je, tuna tabia gani nzuri ku reflect UTANZANIA wetu?
Huku Nambia na kwingineko Watanzania tulikuwa tukisifika kwa upendo na heshima kumbe UNAFIKI, UCHOYO, UCHAWI, KIJICHO vimetuzunguka.
Mtu akifanikiwa kidogo hufanyi utafiti ujue kafanikiwa vipi, ila utaanza kumwita kila aina ya majina. Nadhani ni Tanzania pekee duniani ukipita mitaani asubuhi unakuta watu wamekaa barazani wakicheza bao au wakiomba mia tano au kupanda daladala mwanzo hadi mwisho kwa nauli ya kuomba bila kuwa na sababu ya kwendea mjini.
Mrema uko wapi? Kawawa uko wapi, Sokoine uko wapi? nguvu kazi iko wapi ??? tuokoe vijana katika hili janga la uvivu na unafiki?
Kazi kushinda na simu kuchati umbea na kupost matusi kwenye blogs!
Hatujui kuappreciate kazi ya CCM wala mchango wa CHADEMA na Vyama vingine katika maendeleo ya nchi yetu.
Hongera Kikwete, umejitahidi sana, pamoja na kejeli, kashifa na matusi unayopewa, YOU HAVE PLAYED YOUR PART!