TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
- Thread starter
- #41
Sio kila kitu wananchi tunaambiwa hao wakuu wanavyoenda kusaini hiyo mikataba ya kupata loan au grants,wakuu ndio wanajua kuna nn ndani ya hizo mikataba .Ila kuna baadhi ya marais washawai vujisha hzo siri nikatolea mfano Nyusi.Wakati wa kujibu hoja lazima mtangulize ushoga, why? sisi tunasema mtoto wa kike kwa nini mmpatie adhabu yote peke yake? Apate mimba under 18 (bado mtoto mdogo). alee mtoto wa shinda sasa hata shule umzuie aaaaa huu si uungwana kabisa.
Tunataka Taifa walau lim-support huyu binti apate elimu tu baada ya kujifungua....hapa tatizo ni lipi? kwa nini mzigo wote wa dhambi atwishwe huyu binti mwenye umri wa chini ya 18?
Sasa hilo la ushoga watanzania hawalijui ni lenu.
Nyie mmeng'ang'ana haki haki hao wenyewe US wanaohuiri kuhusu haki hawaijui ,kama kuna haki wasingevamia Iraq .