Watanzania tujiandae kufunga Mikanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tujiandae kufunga Mikanda

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Oct 28, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama CCM watachukua dola seriously speaking watanzania tujiandae kufunga mikanda na kunza ishi katika hali ngumu.
  Kwa nini nasema ivyo ni kwa sababu ya wingi wa hela zilizotumika katika kampeni za CCM am sure zinazidi ata billion 100.Nasikia hazina patupu watu wamekunja ndita bse of frequent orders za kurelease fund time and again.Gharama kama Mabango,kampeni za JK,Kampeni za mkewe,za Ridhiwani,TV spots,Radio spots,kuchapisha khanga,tshirt,kofia etc zimewaghalimu sana.
  Kuepuka hii dhahma ni bora tukamwingiza Slaa madarakani bse am sure ataanza urudishwaji wa fedha zilizoibwa toka kwa mafisadi kitu ambacho CCM hawataweza na watatugeukia watanzania kutukamua kwa kwenda Mbele.
  Tena kama CCM watapita utashangaa wataanzaisha vitu vingi tuu vya kukamua wananchi tena hasa suala la leseni kwa 40000tshs ambalo wanaweza fanikisha kwa kamata kamata ya traffic,alafu fine za barabarani wanaweza fanya 100000 mfano kwa over speeding.
  Kuna haja ya kuondokana na serikali ya CCM
   
 2. L

  Limbwata Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Crap..
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ukiwa unanufaika na na existing system kila anayediriki kuiondoa au kuikosoa kwako lazima awe adui.
   
Loading...