Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,873
2,000
Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu.

kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
 

Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
1,576
2,000
Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu.Mkurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea. https://t.co/0HpKbGTrwM
Huo ni wajibu wao!! Hii biashara ya mtu kutekeleza wajibu wake halafu anasifiwa 🤣🤣🤣🤣
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom