Watanzania tuheshimiane katika hili hawa watu wapewe mkataba wa kazi

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
Jamani eeeeh nilishawahi kupost hapa kuhusu kiwanda cha shellys cha pale mwenge,kuna watanzania wenzetu pale wameajiriwa kama vibarua kwa miaka kumi huku wahindi wakilipana pesa kubwa hata kama qualification zinafanana na watanzania.....hii ni nchi yetu,na sasa tunatimiza miaka 50,hatutaki tena haya matatizo la wananchi tutaingilia kati na tutafukuza wageni wote wanaonyanyasa na kusumbua wenzetu walioajiriwa huko:
Tunaomba serikali imulike sehemu hizi:
  1. Mahoteli makubwa ya kigeni,mengine mafisadi wana share.
  2. Viwanda vikubwa
  3. Vituo vya afya
  4. Mashule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom