Watanzania tufunguke kwa kuanzia na uchaguzi mdogo wa igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tufunguke kwa kuanzia na uchaguzi mdogo wa igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE HERO, Sep 28, 2011.

 1. THE HERO

  THE HERO Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu kampeni zimeanza nimejaribu kuchunguza nikaona wa2 wengi wa igunga hawajafikiri vya kutosha katika kutoa support ktk chama na m2 makini, maana aliyetoka katika kiti hicho hawajajiuliza ni kwanini(Muusishwa ktk ufisadi) ametoka na tufanye nini ili tunaemchagua asitudhalilishe tena na kutusababishia tufanye uchaguzi mwingine, tutazame mbele maana watanzania sasa tunatakiwa kufunguka na sio kukaa gizani 2 na kuangalia mambo yanayotokea na kukubaliana nayo bila kufanya utafiti wa kutosha.
  God bless Tanzania
  God bless Africa
   
Loading...